Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 710
- 1,041
ONGEZA MAALIFA KIDOGO, WANAUCHUMI KARIBU KWA MAONI.
Hili game ni mfano wa kundi la watu watano( hapa namanisha banks,commercial banks, hedge funds n.k), wamekaa chini wamedesign system inayopanda na kushuka( hapa namaanisha ECN network) kutokana na transactions zinazofanyika humo.
Sasa anatokea mtu wa sita anadesign na yeye system yake(hapa namanisha MT5/MT4) , kukuwezesha wewe ufanye utabiri juu ya ile system iliyotengenezwa na wale watu watano, huyo mtu wa sita anakuambia nakupa only two resources kukusaidia kufanya wewe utabiri yakinifu, moja anakupa ECONOMIC calender hii itakupa taarifa zote zitakazotokea amabazo huwa zinaaffect system ya watu wale watano , mbili anakupa CANDLESTICTCS hii itakusaidia kujua historia ya matukio yote kila sekunde moja na pia kitu gani kinafanyika sasa hivi, ila haitakupa 100% matukio gani yatafanyika baadae
Sasa wewe unaanza kutumia hizo tools mbili kufanya uchambuzi yakinifu juu ya kile kinachoendelea kwenye ile system ya watu watano, kumbuka ACTION yoyote au TUKIO lolote linalotokea kwenye ile system ya watu watano ni kwababu ya wale watu kufanya MAAMUZI kwamba system muda huu iende upande gani, sasa wewe unapewa hizo tools na yule mtu wa sita(huyu kwa picha halisi ni BROKER) uzitumie kutabiri wale watu watano watafanya nini after one second,minute,hours,day,week,month later
Sasa GAME linakuwa na ugumu unapofanya uchambuzi na kuilazimishaa system itii kile ulicho kitabiri wewe, umesahau kuwa tukio lolote linalotokea kwenye system ni kwababu ya MAAMUZI ya wale watu watano(Hapa ndo BANKS,hedge funds,commercial banks n.k) na hiyo system yao nazani inaitwa ECN network, Na system ya yule mtu wa sita ambaye ni broker nazani inaitwa MT5 or MT4.
Maswali ya kujiuliza
- Je kama wewe ni SPECULATOR do you real access the ECN network where global currencies are exchanged from one form to another, because your not exchanging real currency, your are speculationing the PRICE Movement of currencies.
- Don’t you think that there are two differentiate system operating in different ways here I mean ECN network and MT4/MT5 ,I think this mt5/mt4 designed for speculative purposes where retail traders they use it creating bets for movements of prices
- Je hujiulizi unafanya uchambuzi juu ya MAAMUZI yanayofanywa na watu wengine?? Je maamuzi unayofanya yasipotokea, what your MIND think??
- je ufanye nini in long run uwe mshindi?
Ni vitu viwili tu, vitakufanya uwe mshindi in long run moja ni RISK MANAGEMNT, mbili ni MONEY MANAGEMENT why?? Kwasababu all those they are in CONTROL, what about strategy?, ni ngumu sana kila muda kupata positive direction juu ya mwelekeo wa market kwa sababu MARKET DIRECTION is out in your CONTROL
USHAULI
Focus for all stuffs you can CONTROL and not for those which is out of your CONTROL
JIONI NJEMA.