Hahaaa wabongo bwana.. eti ukitaka na wewe unapata views milioni[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta anayeandika yupo zake buza anasubiri daladala aingie town[emoji114][emoji114]
Wamakonde ni wajuzi wa kuwanga,ukiwawangia unaumia mwenyewe....hapa naongelea wanga wa vitendo na sio maneno matupuKivip mkuu?
Buza kwa MpalangeHahaaa wabongo bwana.. eti ukitaka na wewe unapata views milioni😂😂😂
Unakuta anayeandika yupo zake buza anasubiri daladala aingie town👐👐
Wewe nawe huna ulijualo.. Et ananunua kwa nani [emoji2][emoji2][emoji2]...
Kukusaidia tu, fb, Google na ads network nyingine wanauza traffic unanunua kadri unavyoweza!!
Ahaaaaaaaaaaah mbona mafumbo funguka basiUsitumie kilevi
Chanzo kikubwa cha ajali ni ulevi au matumizi ya pombe kwa madereva. Pombe hukufanya ushindwe kumudu gari vyema, hivyo usitumie kilevi kabla na wakati wa safari.
Fact dogo anaonekana mwanasiasa hajui hata maana ya logic na fact nimemwambia akasome .Acha siasa kijana....mjadala huu si wa kisiasa
Acha ushamba umekuja mjini kulima lami nini,kama ni easy kawanunulie alikiba,barnaba na wasanii wako ,but DIAMOND BABA LAO OK.[emoji3][emoji3][emoji3] Vyovyote vile inawezekana, mbona views mil tena kwa bongo ni bajeti ya kawaida tu??
Tokeni huko mafichoni jifunzeni dunia ya digitali inavyoenda..
Mbona wewe umeshindwa kununua followers na like pamoja na comment hapa jamii forum,ok by the way proof kwa kununua like 200 na followers 100 hapa ndo tajua unayoongea ni kweli bogus okWewe ndo hakuna unaloelewa.. Alaf kwanini mtu akiwa na mawazo tofauti mnamuita hater, kwanini usijibu hoja!! Ina maana hujawawahi ona post zake zimeandikwa sponsored?
Unaleta ujuaji huku hujui hata kama likes, subscribes wananunuliwa/convisiwa kuangalia video ama kulike/kufollow page husika?
Hivi nyie mnaishi dunia gani?
Acha utani rayvanny audio yake ya wimbo wa pepeta amefikisha million 1.5Laki tano kwa siku 2 ni ndogo ?? Hahahah alikiba na rayvan hawajawahi zopata kwa aidio
Ilikuwa Kiki.Hivi ile gari ya Kondeboy Mgahawa ya kugawa chakula kila wiki iliishia wapi? Au labda mimi niko nyuma ya Dunia sipati updates?
,creativity kama ile inataka kwenye za watu waliostaarabika na sio bongo atakula hasara na lengo lake halitatimia....kifupi the project is no where to run....dead and gone....Hivi ile gari ya Kondeboy Mgahawa ya kugawa chakula kila wiki iliishia wapi? Au labda mimi niko nyuma ya Dunia sipati updates?