Is Harmonize a yesterday news?

Is Harmonize a yesterday news?

Wewe ndo hakuna unaloelewa.. Alaf kwanini mtu akiwa na mawazo tofauti mnamuita hater, kwanini usijibu hoja!! Ina maana hujawawahi ona post zake zimeandikwa sponsored?
Unaleta ujuaji huku hujui hata kama likes, subscribes wananunuliwa/convisiwa kuangalia video ama kulike/kufollow page husika?

Hivi nyie mnaishi dunia gani? Qwy,
 
gwankaja, hata ukijitahidi kujisafisha kutoka kundi la haters labda utafute njia nyingine.
Mawazo mbadala/tofauti huwasilishwa kwa logics na mifano solid yenye proof siyo eti "kwani wewe haujui kuwa views zinanunuliwa?", really cheap shit.
 
mzeemkavu, Bora unamlinganisha na Burna Boy na si locals hawa eti akina Kiba, ila kwenye mafanikio it needs to be proved though it's a possibility.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Vyovyote vile inawezekana, mbona views mil tena kwa bongo ni bajeti ya kawaida tu??
Tokeni huko mafichoni jifunzeni dunia ya digitali inavyoenda..
Hahaaa wabongo bwana.. eti ukitaka na wewe unapata views milioni[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta anayeandika yupo zake buza anasubiri daladala aingie town[emoji114][emoji114]
 
Dogo anakipaji tatizo hapo ni menejiment tumsapot
 
Usitumie kilevi

Chanzo kikubwa cha ajali ni ulevi au matumizi ya pombe kwa madereva. Pombe hukufanya ushindwe kumudu gari vyema, hivyo usitumie kilevi kabla na wakati wa safari. Bsc.ANEB,
 
Acha siasa kijana....mjadala huu si wa kisiasa
Wewe nawe huna ulijualo.. Et ananunua kwa nani [emoji2][emoji2][emoji2]...
Kukusaidia tu, fb, Google na ads network nyingine wanauza traffic unanunua kadri unavyoweza!!
 
mzeemkavu, Sasa narudia akili zako zipo matakoni mwako burnaboy hana ukubwa kumzidi DIAMOND BABA YAKO SAWA,kwanza kwa taarifa yako aliisha ingiza nyimbo mbili billibroad na ya kwanza ni hallelujah ko acha porojo za bush uje na fact na upunguze mihemko na inaonekana mziki umeujua juzi;
1.DIAMOND(followers 8.3m>burnaboy(followers 4.6).
2.DIAMOND (subscribers 2.67>burnaboy subscribers 888k).
3.DIAMOND (awards 100+>burnayboy awards20+).
4.DIAMOND (billiboard 2 songs >burnaboy 0 song).
5.DIAMOND (more shows and concert 500+>burnaboy shows 100+).
6.DIAMOND(Most video viwers in youtube 800m>burnaboy viwers 250m).

NARUDIA TENA HUYO DOGO LAKO REMA HAINGII HATA THERUTHI KWA DIAMOND BABA YAKO OK,MAANA HATA DAVIDO ANASOTA KUMFIKIA SEMBUSE HAO MA UNDERGROUND WAKO REMA NA BURNABOY KISA KUPEWA AIRTIME NA PROMO TU KWA KUWA WANAIMBA NGERI KO KALALE NA UENDE SHULE UKASOME OK
 
Usitumie kilevi

Chanzo kikubwa cha ajali ni ulevi au matumizi ya pombe kwa madereva. Pombe hukufanya ushindwe kumudu gari vyema, hivyo usitumie kilevi kabla na wakati wa safari.
Ahaaaaaaaaaaah mbona mafumbo funguka basi
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Vyovyote vile inawezekana, mbona views mil tena kwa bongo ni bajeti ya kawaida tu??
Tokeni huko mafichoni jifunzeni dunia ya digitali inavyoenda..
Acha ushamba umekuja mjini kulima lami nini,kama ni easy kawanunulie alikiba,barnaba na wasanii wako ,but DIAMOND BABA LAO OK.
 
Wewe ndo hakuna unaloelewa.. Alaf kwanini mtu akiwa na mawazo tofauti mnamuita hater, kwanini usijibu hoja!! Ina maana hujawawahi ona post zake zimeandikwa sponsored?
Unaleta ujuaji huku hujui hata kama likes, subscribes wananunuliwa/convisiwa kuangalia video ama kulike/kufollow page husika?

Hivi nyie mnaishi dunia gani?
Mbona wewe umeshindwa kununua followers na like pamoja na comment hapa jamii forum,ok by the way proof kwa kununua like 200 na followers 100 hapa ndo tajua unayoongea ni kweli bogus ok
 
Hivi ile gari ya Kondeboy Mgahawa ya kugawa chakula kila wiki iliishia wapi? Au labda mimi niko nyuma ya Dunia sipati updates?
 
Hivi ile gari ya Kondeboy Mgahawa ya kugawa chakula kila wiki iliishia wapi? Au labda mimi niko nyuma ya Dunia sipati updates?
,creativity kama ile inataka kwenye za watu waliostaarabika na sio bongo atakula hasara na lengo lake halitatimia....kifupi the project is no where to run....dead and gone....
 
Back
Top Bottom