Is it a coincidence?

Is it a coincidence?

Vipi kuhusu walioelimika..?
Hata hao wasingefika huko pasingekuwa Wakristo

Diamond anachofanya ni Bid'aa, Zinaa na Haram kwa mujibu wa Uislam, lakini wateja wake wanaompa pesa zaidi ni Wakristo, waandaaji wa concerts, kumbi ni za Wakristo na kunauzwa haram huko (pombe), Shisha n.k

PIA, Samatta na Diamond wanapatia pesa kwenye nchi za MAKAFIRI, Kule kuna whisky, Wines, beer na Pork, kuna wavaa uchi, Night clubs n.k

Ajuza Faiza Foxy alisoma na kuishi muda mrefu Canada kwa Makafiri pia

Si waache kwenda huko waende kusoma Elimu Akhera na kutawadha kule Iraq, Yemen, Somalia na UAE?

Wanafuata nini kwa MAKAFIRI?

UNAFIKI na NJAA ni mbaya sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote hawajaenda shule.... Wakristo tulibase sana katika kupata elimu. na elimu hiyo imefanywa wakristo wengi kuwa na maisha bora sana hapa mjini..
 
Back
Top Bottom