Ofcoz mwanamke anapaswa kuwa huru kuchagua mwanaume ambaye can offer the security that money provides.Hahaha
Wanaume nak siku hizi wanachagua matako makubwa sasa kwanini wahukumu warwmbo kwa kuchagua wenye bond?
😁😁Ofcoz mwanamke anapaswa kuwa huru kuchagua mwanaume ambaye can offer the security that money provides.
The other side of the coin a man should be able to have as many women as his money can allow him to have.
Life is very simple humans just wana complicate it
Yeah sure, they are not logical.Tatizo hata akipata mwenye hela atatamani anayeweza kumfikisha Kilimanjaro
Na hata akipata mwenye vyote hivyo atataka tena apate handsome boy mwenye six pack
kiufupi Hawa viumbe kuwaelewa inahitaji uende mars ukasome saikolojia
hii dhana ilikuwepo hata kwa mababu zetu ilikuwa lazima uwe na uwezo wa kiuchumi ndio unapata mke. Kijana huo mpaka upate mali/pesa. Mademu wa siku hizi hata wakichagua mameni wenye hela poa tu, masikini nao watapata wa zaizi yao. Masikini nao huoaAiseee mi nasemaje mdada ambaye anataka mwanaume mwenye pesa zaidi huyo ndo genius ana akili na ana future na watoto wake hao badae..
Tashangaa sana na kupatwa na mshangao napoona mdada kabisa anampa moyo wake mkaka maskini empty kabisa..
Alafu badae watoto na yeye wanaishia kuwa tegemezi kwa ndgu..
Hawa dada zetu wakiweka msimamo hakuna wanaume watakao kuwa lazy lazy..
Na msimamo ni ule ule demu mkali utamuita shemeji tuu.. kama mimi yanayonitokea yanafanya nipate chachu ya kutafuta pesa
Mambo hayo yatafanya watu wasitafute pesa kudadekhii dhana ilikuwepo hata kwa mababu zetu ilikuwa lazima uwe na uwezo wa kiuchumi ndio unapata mke. Kijana huo mpaka upate mali/pesa. Mademu wa siku hizi hata wakichagua mameni wenye hela poa tu, masikini nao watapata wa zaizi yao. Masikini nao huoa
Kwani wewe ni Mwanamke? Wewe huwa unachagua wenye nini?Hahaha
Wanaume nak siku hizi wanachagua matako makubwa sasa kwanini wahukumu warwmbo kwa kuchagua wenye bond?