Is It Possible?

.........and then bado unakuja kutuuliza kama is it possible, wacha nikupe vidonge vyako umeze au uteme, i am your brother and i have to call it like it is, HAIWEZEKANI KWA HIYO CASE YAKO NA KAMA UTARUDI HAPO UTAKUA MPUUZI WA WAHED!!

sijakutukana, nimeongea tu kama loving brother
 
MTM my bro, I deserve that kabisa! Keep ur eyes open kama ni kiboko kimenifanya niwe sugu sasa. Iam the she-devil.

....ooopppssssss! slow down bana.,..haya mambo hayahitaji jazba, hasira na kukurupuka kwenye maamuzi yake.
mwj1... huyu ni funza kwenye akili yako, na mabandiko yako mengi yanajionyesha jinsi ulivyonasa kwenye utando wa bui bui,...
...
'panic buttons' hazitakusaidia kujing'amua...! Relax and conquer your demons kwanza...jikubalishe kwamba unataka na unaweza kum face off....start from there!...

angalizo muhimu;

usinitaje huko ati mbu kakufundisha...enhee, nisijegeuziwa kibao na hivi mbu nisivyo na bahati, lol...
 
swahiba MJ1 ni kamanda, i truly believe kwamba atanasuka tu kwenye utando huo

ingawa ni vigumu lakini she is a strong darling
 
Maty na Nyamayao, nimewaweka akiba. Siku yakinikumba ntawakodisha na mdundiko nyuma nyie mbele mie kati. MJ1 atakua mpiga picha wetu,kha!
MJ1,pole. Lakini ukaribu na huyo baba sarawili unakuchelewesha ku-move on. Jiulize unamkaribisha becoz u ar single ama hata ukiwa na mahusiano/ndoa still utamkaribisha? Kama jibu la kwanza ni applicable,it is nt worth it.
 
swahiba MJ1 ni kamanda, i truly believe kwamba atanasuka tu kwenye utando huo

ingawa ni vigumu lakini she is a strong darling

...inshaallah, mwenyezi mungu amtie nguvu, amzidishie ujasiri, na amfungulie kila yaliyo na heri naye soulmate wangu maskini,...!
 
hahahahahah!....king'asti ulisema utaanza kupuliza wikiendi?
kwa hii post yako tu, yajionyesha kuna mahala ulinusa moshi wake...
dahhh...umenichekesha sana!
 
hehehehe,mbu bana sijaanza kulipuliza. mtm ndo alikua anipe supply kanichunia sasa sijui itakuaje. manake ukiacha si unapoteza all contacts, well mpaka friday akinichunia my petrol tank will do. hahaha

hahahahahah!....king'asti ulisema utaanza kupuliza wikiendi?
kwa hii post yako tu, yajionyesha kuna mahala ulinusa moshi wake...
dahhh...umenichekesha sana!
 
Reactions: Mbu
Biblia inakataza kabisa kabisa kuachana. Nashauri kutafuta namna ya kureconcile badala ya
hii ya kuwa na term interactions.
 
hahahaha mie namuona maty kachizika zaidi aise, ntamuweka mbele yangu mie nimfate kwa nyuma,hahahah....mie nasemaje kuhusu huyu kaka kwamba kweli alipata mwanamke.....
 
hahahaha....ushachizika wewe!...
hehehe hivi haujaskia kesi watu wanavusha vitabu vitakatifu kimagendo??
halaf nimekumic wajameni, hivi msukuma sio memba wa jf?

Bek to ze topik: mapwenti yameniishia, nyie endeleeni tu
 
hahahaha mie namuona maty kachizika zaidi aise, ntamuweka mbele yangu mie nimfate kwa nyuma,hahahah....mie nasemaje kuhusu huyu kaka kwamba kweli alipata mwanamke.....

Bahati mbaya jitu lenyewe halijui...!!! Hata miongoni mwetu (wanaume) huwa kuna wakati unamwona mwanamke (mke wa mtu na jinsi alivyo star quality) unatamani kungekuwa na ruhusa ya kuhamisha line kama vile mitandao ya simu...!

Mijitu mingine walaaa, haioni kitu....Kweli kizuri ni cha mwenzio!
 
Aisee nilipoona hii nikajua mambo ya Lerionka yemerudi tena, "Is it possible to hold a spear in one hand and a book in the other"?...
 
hehehe hivi haujaskia kesi watu wanavusha vitabu vitakatifu kimagendo??
halaf nimekumic wajameni, hivi msukuma sio memba wa jf?

Bek to ze topik: mapwenti yameniishia, nyie endeleeni tu

halafu juzi kati aliniuliza swali kuhusu JF nikapotezea, soon atanibamba/ananish2kia aisee na mie ctaki bana......mic u 2 darlin!
 
halafu juzi kati aliniuliza swali kuhusu JF nikapotezea, soon atanibamba/ananish2kia aisee na mie ctaki bana......mic u 2 darlin!
hehehe Siku akiibamba paswedi yako ya JF nishtue, nisije nikajileta PM kwa mbwembwe halaf ikawa habari ya kubadilisha ID lol

Dah! hebu nisichakachue sredi ya mjukuu mtiifu, nimeskia MJ1 akikupiga laana yake hata perfume unaiskia harufu ya kinyesi.
 
Mkuu, INAWEZEKANA kabisa wazazi waliotengana kushiriki/ participate pamoja mambo ya jamii kama arusi, misiba n.k. Haya mambo tunayaona ktk jamii zetu, ndugu, marafiki, majirani hata na sisi wenyewe! Anyway suala la kuwatoa out watoto wenu, mmh, hiyo nadhani ni dalili au kiashiria cha mwanzo wa kurudiana tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…