Hahahahaha...Unastushwa na hilo tu,
Kwa taarifa yako, mwanamume (tena wa kiafrika) akimwacha mwanamke anatamani kumwona akiwa kichaa anaokota makopo au amefulia hadi chawa wanagawana vipande vipande vya mwili wake... That way anaamini kweli Mungu alikuwa amekutoa kwake ila kwa ujeuri wako sasa unaonja joto la jiwe!! Habari ya watoto haipo kabisa kichwani mwake linapokuja suala la kumfikiria mtalaka wake!!
Mwanamume aliyekuacha akikuona unatanua tena na dume jingine, anatamani akaazime bastola ili asione tena hicho kitu ambacho kinampa pressure kama vile amebakiza dakika 10 kuaga dunia!!
Mwanamume kiumbe tofauti na mnachoona kinatembea njiani....kuwa makini na chukua hatua!![/QUOTE]
Ni kweli ila binafsi nimejaribu kuongelea basic rules. Nadhani zinaweza kumsaidia mleta mada au mtu yeyote!
Hili suala la watoto linawaumiza wanawake wengi...my mom was one of them!!
Hata bibi DC ikifikia maongezi yanayohusu maisha bila mimi na watoto watakuwaje...kweli huwa namwonea huruma!
Bahati mbaya kwa wanawake, mtego wa watoto ni mgumu kuukwepa!
Babu nimefurahishwa sana na post zako na zimenisaidia sana kwa kweli, kwani kuna maswali mengine nilikua najiuliza nakuhisi inawezekana ndio jibu ila nilikuwa sina uhakikaka. Kwa hizo nizobold umenisaidia kupata uhakika wa maswali nilikua najiuliza.
Nilikua najiuliza sana hivi huyu mtu upendo wake kwa mtoto mbona umepitiliza? kumbe ana lake jambo rohoni mwe! Pole yake kuna wanawake wengine tumejua kuzaliwa asee. Mwanaume hawezi pata nafasi ya kunichezea kwa kisingizio chochote labda niwe na mimi nimependa.