hahaha hapo ndo pagumu na ndo hupelekea kuongezeka zaidi madhara ya kuachana
Ha we acha kabisa haya mateso tuliyopitia wengine ni balaa kwa bahati mbaya alifariki baada ya miezi miwili (RIP G....) sifurahii kufariki kwake lakini nilipata amani maana ilikuwa ni balaa
...unazungumzia kwenye situation gani mamie?...nyote mkiwa single, au nyote mkiwa committed na mahusiano mengine?
kwenye usingle, au mmoja wenu akiwa single... kuna hatari ya mmoja wenu akawa anafanywa 'msukule'...
...hata hivyo, hii pia inategemea mmetengana vipi.
Nadhani kuna mambo ama siyaelewi au nakuwa na mawazo ya 1947!
Hivi watu wakiachana au kutengana, watoto wanaendelea kupata malezi kama vile bado wako pamoja? Mie nilidhani maisha tofauti na yale ya zamani yanaanza baada ya kuachana au kutengana. Kwa maana hiyo, hata malezi ya watoto yataathirika kwa namna moja au nyingine!
Mie naamini ukinifanya nikutane na ex wangu mara kwa mara, lazima nitatenda dhambi tu!! To be safe...kila mtu na maisha yake na watoto watakua hivyo hivyo!
Unajua nini Brother,
Wanawake Mungu aliwaumba kwa namna ambayo wanaume wanaijua zaidi kuliko wanawake wenyewe!!
Kwenye ile mada ya who is number one btn a husband/wife and kid, wanawake wote walisema bila kumung'unya maneno kuwa namba one kwao ni mtoto!!
Ndio maana baada ya matukio kama kuachana wanaume wanatumia hao hao watoto kufanya lolote wanalotaka....
Kama wasipostuka wasije kusema hatukuwaambia...Ukweli ni kwamba mwanamume hata akimwacha mwanamke, haachi kutamani kumuonja tena. Labda kama alimkera zaidi ya kituo cha polisi!
Ndo maana hata mimi nawashauri, kama kweli hawataki kumegwa megwa kama ice cream za watoto wa shule waache mchezo wa kuendekeza mawasiliano na vikao na ma-ex wao!
Kuwajali watoto haina maana kuwa na mikutano na majadiliano ya mara kwa mara na mama yao (ambaye tulishindwana anyway)!
Ndo maana nikasema kuwa mtego wa watoto siku zote unawaumiza wanawake zaidi kuliko wanaume...Ukiona mwanamume anafuatilia fuatilia watoto kwa Ex wake...basi jua kuna jambo zaidi ya watoto analolitafuta!![/QUOTE]
Hahahahaha...Unastushwa na hilo tu,
Kwa taarifa yako, mwanamume (tena wa kiafrika) akimwacha mwanamke anatamani kumwona akiwa kichaa anaokota makopo au amefulia hadi chawa wanagawana vipande vipande vya mwili wake... That way anaamini kweli Mungu alikuwa amekutoa kwake ila kwa ujeuri wako sasa unaonja joto la jiwe!! Habari ya watoto haipo kabisa kichwani mwake linapokuja suala la kumfikiria mtalaka wake!!
Mwanamume aliyekuacha akikuona unatanua tena na dume jingine, anatamani akaazime bastola ili asione tena hicho kitu ambacho kinampa pressure kama vile amebakiza dakika 10 kuaga dunia!!
Mwanamume kiumbe tofauti na mnachoona kinatembea njiani....kuwa makini na chukua hatua!![/QUOTE]
Ni kweli ila binafsi nimejaribu kuongelea basic rules. Nadhani zinaweza kumsaidia mleta mada au mtu yeyote!
Hili suala la watoto linawaumiza wanawake wengi...my mom was one of them!!
Hata bibi DC ikifikia maongezi yanayohusu maisha bila mimi na watoto watakuwaje...kweli huwa namwonea huruma!
Bahati mbaya kwa wanawake, mtego wa watoto ni mgumu kuukwepa!
Babu nimefurahishwa sana na post zako na zimenisaidia sana kwa kweli, kwani kuna maswali mengine nilikua najiuliza nakuhisi inawezekana ndio jibu ila nilikuwa sina uhakikaka. Kwa hizo nizobold umenisaidia kupata uhakika wa maswali nilikua najiuliza.
Nilikua najiuliza sana hivi huyu mtu upendo wake kwa mtoto mbona umepitiliza? kumbe ana lake jambo rohoni mwe! Pole yake kuna wanawake wengine tumejua kuzaliwa asee. Mwanaume hawezi pata nafasi ya kunichezea kwa kisingizio chochote labda niwe na mimi nimependa.
pole sana dena kwa maswaibu yaliyokukuta ... lakini naamini watoto wanaendelea kufaidika na waliopo
Babu nimefurahishwa sana na post zako na zimenisaidia sana kwa kweli, kwani kuna maswali mengine nilikua najiuliza nakuhisi inawezekana ndio jibu ila nilikuwa sina uhakikaka. Kwa hizo nizobold umenisaidia kupata uhakika wa maswali nilikua najiuliza.
Nilikua najiuliza sana hivi huyu mtu upendo wake kwa mtoto mbona umepitiliza? kumbe ana lake jambo rohoni mwe! Pole yake kuna wanawake wengine tumejua kuzaliwa asee. Mwanaume hawezi pata nafasi ya kunichezea kwa kisingizio chochote labda niwe na mimi nimependa.
Ha we acha kabisa haya mateso tuliyopitia wengine ni balaa kwa bahati mbaya alifariki baada ya miezi miwili (RIP G....) sifurahii kufariki kwake lakini nilipata amani maana ilikuwa ni balaa
Asante wmaya maumivu yamenirudia upya baada ya kuona hii thread lakini maisha yanakwenda
Umenikumbusha AR kwa machalii na watani zangu.... kufungua lock ni kuzimua. Kwa hiyo kujipiga lock nadhani ni kujidunga na ulevi. Ukidadavua hapo with respect to love utakonkludi kuwa kurudiana na mzazi mwenzako eti "kiurafiki" zaidi ni ulevi wa kimapenzi.MJ1
It can be possible but rest assured its going to destroy more than anything. Many of those (no reference here) who separate adn remain friends huendelea kula tunda, and that makes it very difficult to move on, and very unfortunately women huwa wanakua affected negative zaidi kutokana na mfumo dume uliopo.
I have seen a few cases wapenzi wa zamani wanaalikana, na baada ya shughuli jamaa wanashtua na maisha yanaendelea, with our nature, freedom ya kiume nk we usually leave our emotions right there after "the do-do thing" but women take those emotions back home and keep them for some time
Ushauri wangu, DO NOT ENTERTAIN IT, COZ FOR A WOMAN NI KUJIPIGA LOCK TU
Hili lisredi limenipitaje?
Kwangu mie:
Ni possible kama kutakuwa na mkakati wa kurudiana......... Yaani lazima yale ma SRM yakumbukwe na yafanyiwe kazi
Ila
Ni impossible kama vigezo na masharti ya yale ma SRM hayatazingatiwa.
Ushauri wangu: Bibiye, sahau yaliyopita. Piga moyo konde rudianeni na mzazi mwenzio. Maisha ya upweke yashakushinda, na moyo wako bado umeacha vipande kwenye moyo wake.Tii kiu yako. Acha penzi lionyeshe njia!
Na hili ndilo neno la ODM.
Ni ngumu kwa kweli hasa kama tuliachana katika hali ya mateso na manyanyaso.Tukiachana katika hali ya ugomvi mkubwa usitarajie ntakuwa rafiki yako..Kujifanya marafiki sitaweza kwani kila ninapokuona nitaanza kukumbuka mateso uliyonisababishia na muda ulionipotezea.Kama ni wa watoto utaenda nao matembezi kwa muda wako.