Is it true kwamba serikali Iko answerable kwa maaskofu au maaskofu ndo wako answerable kwa serikali?

Mkungunero

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2023
Posts
401
Reaction score
569
Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?

Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.

Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.

Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
 
Serikali ndio imejipendekeza kwao,hovyo kabisa
 
Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?
Never on earth wajaribu waone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?

Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.

Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.

Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Katiba ya Nchi yako inasemaje?
 
Jaji hamuapishi Rais bali anamuongoza kula Kiapo

Rais anaapa mbele ya Mungu na mbele ya Katiba ya Nchi

Muwe mnaelewa!
Ni formality tu. Na ujue kwamba mungu ni WA wote na siyo kwamba ameshikiliwa na Hawa maaskofu kwamba Wana uwezo wa kumwachia au kumshikila. Huu ni utaratibu wa kijinga tu na tuliamua kuwa hako la previlege tu ila wasipoangalia tutawanyanganya na hakuna kitakachoharibika. Mwanajeshi anaweza kufanywa askofu anytime
 
Yaani haya mambo huwezi amini yana nguvu kuliko unavyofikiria. Mimi ni Muslim lakini kusema kweli huwa sielewi ni kwanini kanisa lina nguvu namna hii ndani ya serikali yetu.

Hivi ukiambiwa hata hii issue ya Dpw kanisa hasa ndio halikukubaliana nao na kwa sababu ya kugusa maslahi yao Mapana unaweza kuamini?

Lakini cha ajabu zaidi huwezi sikia mahali popote ikiwekwa wazi kwamba they deny bcoz of this and that.... 😂 😂
 
Ni formality tu. Na ujue kwamba mungu ni WA wote na siyo kwamba ameshikiliwa na Hawa maaskofu kwamba Wana uwezo wa kumwachia au kumshikila. Huu ni utaratibu wa kijinga tu na tuliamua kuwa hako la previlege tu ila wasipoangalia tutawanyanganya na hakuna kitakachoharibika. Mwanajeshi anaweza kufanywa askofu anytime
Unauliza Vita Gaza?

Hapo Vatican Maaskofu kibao ni majenerali na makomandoo wa Jeshi

Nyie watoto wadogo hata Hamjui uhuru tulipataje bila kupigania!
 
Back
Top Bottom