Is it true kwamba serikali Iko answerable kwa maaskofu au maaskofu ndo wako answerable kwa serikali?

Yaani haya mambo huwezi amini yana nguvu kuliko unavyofikiria. Mimi ni Muslim lakini kusema kweli huwa sielewi ni kwanini kanisa lina nguvu namna hii ndani ya serikali yetu.

Hivi ukiambiwa hata hii issue ya Dpw kanisa hasa ndio halikukubaliana nao na kwa sababu ya kugusa maslahi yao Mapana unaweza kuamini?

Lakini cha ajabu zaidi huwezi sikia mahali popote ikiwekwa wazi kwamba they deny bcoz of this and that.... 😂 😂
Achana na huyu chizi wa UWT, amuulize Joseph Kabila wa Congo alijaribu tena akiwa mlokole
 
Unauliza Vita Gaza?

Hapo Vatican Maaskofu kibao ni majenerali na makomandoo wa Jeshi

Nyie watoto wadogo hata Hamjui uhuru tulipataje bila kupigania!
Mnawaoverate tu. Kwani tukilifuta kanisa hili nchini kwetu itakuwaje mbona Korea kaskanlzini kiduku alilifutilia mbali
 
Jaji hamuapishi Rais bali anamuongoza kula Kiapo

Rais anaapa mbele ya Mungu na mbele ya Katiba ya Nchi

Muwe mnaelewa!
Vivyo hivyo kwa Hawa maaskofu. Wao kazi Yao ni kama jaji tu siyo kwamba wao ndo mungu wenyewe hapana. Wamepewa preveledge tu lakini mungu na wao ni tofauti kabisa ndo mana kila mtu ameambiwa asali moja kwa moja kwa mungu bila kupitia kwa yeyote. Pazi la hekalu lilipasuka kumaanisha kila mtu anahaki ya moja kwa moja
 
Yaani haya mambo huwezi amini yana nguvu kuliko unavyofikiria. Mimi ni Muslim lakini kusema kweli huwa sielewi ni kwanini kanisa lina nguvu namna hii ndani ya serikali yetu.

Hivi ukiambiwa hata hii issue ya Dpw kanisa hasa ndio halikukubaliana nao na kwa sababu ya kugusa maslahi yao Mapana unaweza kuamini?

Lakini cha ajabu zaidi huwezi sikia mahali popote ikiwekwa wazi kwamba they deny bcoz of this and that.... [emoji23] [emoji23]
Duuuh mbona ule waraka umeelezea vizuri sana.

Nyinyi watu sijui watu wa wapi ,mnaamini kila mnachoambiwa.

Nenda kasome waraka dogo.
 
Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?

Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.

Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.

Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Futeni kanisa muone na ninyi mtakavyofutika.
 
Hamtafanya lolote m ajimwambafy tu. Kwanza Hawa mapadre wanatuharibia watoto tu. Eti huoi, lini binadamu aliyekamilika akaacha kusex. Ndo mana kitima ana wake wawili hapa Tanga na kila mtu anajua na amewazalisha wote
 
Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?

Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.

Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.

Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Naunga mkono hoja.. 💯💯
 
Duuuh mbona ule waraka umeelezea vizuri sana.

Nyinyi watu sijui watu wa wapi ,mnaamini kila mnachoambiwa.

Nenda kasome waraka dogo.
Kuwa na Disiplini mimi sio dogo hunijui kwahiyo kuwa na heshima mtandaoni. Wewe kwa akili yako ulidhani waraka ungeeleza haya ninayoyasema hapa? Kwa kukuangalia tu nimegundua jinsi gani ulivo bogaz kabisa
 
Sawa.
 
Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?

Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.

Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.

Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Nenda kalifutilie mbali, maadam ufutio unao.
 
Acha ujinga wewe,Kanisa Katoliki ni kitu kingine limejikita vilivyo.
88% ya serikali zote duniani hutii amri na kujinyenyekeza kabla ya pope aliyeketi kitini pake mtume petro.

#Roma Locuta Causa Fitina Est

NapitaKamaRadi
 
Mbona kiduku aliweza kulifutilia mbali? Yaani hapa kwetu tukiweza kulifutilia mbali ndo tutaendelea vinginevyo tusahau maendeleo kwa kulikumbatia Hilo kanisa la kinafiki eti Hawaii wakati Wana t.omba kila siku
 
Yaani haya mambo huwezi amini yana nguvu kuliko unavyofikiria. Mimi ni Muslim lakini kusema kweli huwa sielewi ni kwanini kanisa lina nguvu namna hii ndani ya serikali yetu.

Hivi ukiambiwa hata hii issue ya Dpw kanisa hasa ndio halikukubaliana nao na kwa sababu ya kugusa maslahi yao Mapana unaweza kuamini?

Lakini cha ajabu zaidi huwezi sikia mahali popote ikiwekwa wazi kwamba they deny bcoz of this and that.... 😂 😂
Wewe utakua muislamu wa madhehebu gani? waislamu wa tanzania wenyewe wanajua kwanini Kanisa (KATOLIKI) lina nguvu serikalini. Some times ni mambo ya kihistoria, Hata kule NIGERIA muslims clarics are so powerful wanazingua wenzao kweli! hasa kule BIAFRA. Nadhani inategemea na msimamo wako ulivyokua wakati wa kupigania uhuru, kama mlikua VIHEREHERE Mzungu lazima awaweke MKIANI ( ule jeuri yako) na kama mlikua karibu nao, akitoa UHURU lazima akutengeneezi mazingira
 
Mbona kiduku aliweza kulifutilia mbali? Yaani hapa kwetu tukiweza kulifutilia mbali ndo tutaendelea vinginevyo tusahau maendeleo kwa kulikumbatia Hilo kanisa la kinafiki eti Hawaii wakati Wana t.omba kila siku
Kiduku ameweza kwasababu serikali yake haitambulik kimataifa.

NapitaKamaRadi
 
Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?

Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.

Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.

Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
huko kwa kanisa umeenda mbali wangeanza kwanza kufuta vyama vyote vya upinzani wabaki wenyewee!
 
Kitima alitaka kupima uwezo wa serikali ukweli kitendo alichofanya kusambaza waraka kanisani ilikua ni uhaini yaani kwamba wakatoliki waiasi serikali?
Kwamba Walutheri au Anglican au Moravian au Wasabato changanya na Waislamu wawe watazamaji tu?
 
Back
Top Bottom