Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Achana na huyu chizi wa UWT, amuulize Joseph Kabila wa Congo alijaribu tena akiwa mlokoleYaani haya mambo huwezi amini yana nguvu kuliko unavyofikiria. Mimi ni Muslim lakini kusema kweli huwa sielewi ni kwanini kanisa lina nguvu namna hii ndani ya serikali yetu.
Hivi ukiambiwa hata hii issue ya Dpw kanisa hasa ndio halikukubaliana nao na kwa sababu ya kugusa maslahi yao Mapana unaweza kuamini?
Lakini cha ajabu zaidi huwezi sikia mahali popote ikiwekwa wazi kwamba they deny bcoz of this and that.... 😂 😂
Mnawaoverate tu. Kwani tukilifuta kanisa hili nchini kwetu itakuwaje mbona Korea kaskanlzini kiduku alilifutilia mbaliUnauliza Vita Gaza?
Hapo Vatican Maaskofu kibao ni majenerali na makomandoo wa Jeshi
Nyie watoto wadogo hata Hamjui uhuru tulipataje bila kupigania!
UWT muwe mnafanya makongamano na kuelimishana ndani kwa ndani, wenzako wanaleta aibu kwenye jukwaaChadema Informer
wenye akili kidogo UWT ni wewe na JokateKama unaapa kwa kushika Biblia au Msahafu uko chini yao hakuna namna 😂
Vivyo hivyo kwa Hawa maaskofu. Wao kazi Yao ni kama jaji tu siyo kwamba wao ndo mungu wenyewe hapana. Wamepewa preveledge tu lakini mungu na wao ni tofauti kabisa ndo mana kila mtu ameambiwa asali moja kwa moja kwa mungu bila kupitia kwa yeyote. Pazi la hekalu lilipasuka kumaanisha kila mtu anahaki ya moja kwa mojaJaji hamuapishi Rais bali anamuongoza kula Kiapo
Rais anaapa mbele ya Mungu na mbele ya Katiba ya Nchi
Muwe mnaelewa!
Hiyo Bakwata tu iliyoasisiwa na Julius Nyerere huwezi kuifuta ndio iwe Kanisa Moja Takatifu La Mitume lenye mizizi kila mtaa wa Tanzania?Mnawaoverate tu. Kwani tukilifuta kanisa hili nchini kwetu itakuwaje mbona Korea kaskanlzini kiduku alilifutilia mbali
Duuuh mbona ule waraka umeelezea vizuri sana.Yaani haya mambo huwezi amini yana nguvu kuliko unavyofikiria. Mimi ni Muslim lakini kusema kweli huwa sielewi ni kwanini kanisa lina nguvu namna hii ndani ya serikali yetu.
Hivi ukiambiwa hata hii issue ya Dpw kanisa hasa ndio halikukubaliana nao na kwa sababu ya kugusa maslahi yao Mapana unaweza kuamini?
Lakini cha ajabu zaidi huwezi sikia mahali popote ikiwekwa wazi kwamba they deny bcoz of this and that.... [emoji23] [emoji23]
Futeni kanisa muone na ninyi mtakavyofutika.Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?
Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.
Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.
Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Hamtafanya lolote m ajimwambafy tu. Kwanza Hawa mapadre wanatuharibia watoto tu. Eti huoi, lini binadamu aliyekamilika akaacha kusex. Ndo mana kitima ana wake wawili hapa Tanga na kila mtu anajua na amewazalisha woteFuteni kanisa muone na ninyi mtakavyofutika.
Naunga mkono hoja.. 💯💯Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?
Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.
Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.
Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Inasemekana tangu enzi kwamba dini huwa zinatumiwa na watawala ili watu waweze kutawalika bila kutumia nguvu kubwa !!Tunafungua kwa Sala ..Tunapayuka Uongo hapo kati ...Tunafunga kwa Sala.
Kuwa na Disiplini mimi sio dogo hunijui kwahiyo kuwa na heshima mtandaoni. Wewe kwa akili yako ulidhani waraka ungeeleza haya ninayoyasema hapa? Kwa kukuangalia tu nimegundua jinsi gani ulivo bogaz kabisaDuuuh mbona ule waraka umeelezea vizuri sana.
Nyinyi watu sijui watu wa wapi ,mnaamini kila mnachoambiwa.
Nenda kasome waraka dogo.
Sawa.Kuwa na Disiplini mimi sio dogo hunijui kwahiyo kuwa na heshima mtandaoni. Wewe kwa akili yako ulidhani waraka ungeeleza haya ninayoyasema hapa? Kwa kukuangalia tu nimegundua jinsi gani ulivo bogaz kabisa
Nenda kalifutilie mbali, maadam ufutio unao.Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?
Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.
Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.
Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Mbona kiduku aliweza kulifutilia mbali? Yaani hapa kwetu tukiweza kulifutilia mbali ndo tutaendelea vinginevyo tusahau maendeleo kwa kulikumbatia Hilo kanisa la kinafiki eti Hawaii wakati Wana t.omba kila sikuAcha ujinga wewe,Kanisa Katoliki ni kitu kingine limejikita vilivyo.
88% ya serikali zote duniani hutii amri na kujinyenyekeza kabla ya pope aliyeketi kitini pake mtume petro.
#Roma Locuta Causa Fitina Est
NapitaKamaRadi
Wewe utakua muislamu wa madhehebu gani? waislamu wa tanzania wenyewe wanajua kwanini Kanisa (KATOLIKI) lina nguvu serikalini. Some times ni mambo ya kihistoria, Hata kule NIGERIA muslims clarics are so powerful wanazingua wenzao kweli! hasa kule BIAFRA. Nadhani inategemea na msimamo wako ulivyokua wakati wa kupigania uhuru, kama mlikua VIHEREHERE Mzungu lazima awaweke MKIANI ( ule jeuri yako) na kama mlikua karibu nao, akitoa UHURU lazima akutengeneezi mazingiraYaani haya mambo huwezi amini yana nguvu kuliko unavyofikiria. Mimi ni Muslim lakini kusema kweli huwa sielewi ni kwanini kanisa lina nguvu namna hii ndani ya serikali yetu.
Hivi ukiambiwa hata hii issue ya Dpw kanisa hasa ndio halikukubaliana nao na kwa sababu ya kugusa maslahi yao Mapana unaweza kuamini?
Lakini cha ajabu zaidi huwezi sikia mahali popote ikiwekwa wazi kwamba they deny bcoz of this and that.... 😂 😂
Kiduku ameweza kwasababu serikali yake haitambulik kimataifa.Mbona kiduku aliweza kulifutilia mbali? Yaani hapa kwetu tukiweza kulifutilia mbali ndo tutaendelea vinginevyo tusahau maendeleo kwa kulikumbatia Hilo kanisa la kinafiki eti Hawaii wakati Wana t.omba kila siku
huko kwa kanisa umeenda mbali wangeanza kwanza kufuta vyama vyote vya upinzani wabaki wenyewee!Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?