peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
CCM wanachama wake ni akina nani?Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?
Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.
Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.
Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Raia wengi wa Korea Kaskazini ni wafuasi wa dini za Kienyeji na wapagani wasio na dini karne na karne, Ukristo haujawahi kushika mizizi au kuwa dini yenye ushawashi kwao.Mnawaoverate tu. Kwani tukilifuta kanisa hili nchini kwetu itakuwaje mbona Korea kaskanlzini kiduku alilifutilia mbali
Ilikua ni TEC, sio kitimaKitima alitaka kupima uwezo wa serikali ukweli kitendo alichofanya kusambaza waraka kanisani ilikua ni uhaini yaani kwamba wakatoliki waiasi serikali?
Kwamba Walutheri au Anglican au Moravian au Wasabato changanya na Waislamu wawe watazamaji tu?
Unawaonya wewe kama nani? Futa kanisa Catholic kama una huo uwezo. Kuna watu hamjui chochote. Mmekosa uelewa mpaka hekima, mmebakia kuropoka.Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?
Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported.
Kwanza TEC wamshukuru mungu hata kuruhusiwa tu kuandika waraka na kuusambaza. Yaani ule waraka ilikuwa kama uhaini kabisa mana walitaka serikali ichukiwe na finally ipinduliwe.
Sasa nawaonya tena TEC kwamba serikali ni lijitu likubwa sana wasitunishane na serikali wataumia wao.
Tatizo una akili ndogo, na umenyimwa uelewa unabaki unabwabwaja, Korea Kaskazini mbona hakuna makanisa.Mnawaoverate tu. Kwani tukilifuta kanisa hili nchini kwetu itakuwaje mbona Korea kaskanlzini kiduku alilifutilia mbali
Umeambiwa nenda kafute haraka. Unabakia kubwabwaja. Nenda kafute mara moja.Hamtafanya lolote m ajimwambafy tu. Kwanza Hawa mapadre wanatuharibia watoto tu. Eti huoi, lini binadamu aliyekamilika akaacha kusex. Ndo mana kitima ana wake wawili hapa Tanga na kila mtu anajua na amewazalisha wote
Kumbe wewe ni punguani!! Watu wamekuwa wakijibishana nawe, wakiamini ni mzima wa akili.Mbona kiduku aliweza kulifutilia mbali? Yaani hapa kwetu tukiweza kulifutilia mbali ndo tutaendelea vinginevyo tusahau maendeleo kwa kulikumbatia Hilo kanisa la kinafiki eti Hawaii wakati Wana t.omba kila siku
Hata serikali ikizingua wananchi tunaweza kuifutilia mbali....saa miamoja zote ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]tuNimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?