Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat?

Tafuta usajiri wa hiyo dreamliner, halafu nenda mtandaoni tafuta iko wapi, utaona kila kitu.
 
Watu mna akili za kipuuzi sana,utangaziwe kila kitu kikusaidie nini mtu mwenye akili kama hii?kuna siku Magufuli mtamkumbuka,juhudi ya muda mchache zinaonekana lakini eti mnaponda kwa mapenzi ya vyama vya siasa.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Tz ni full commedy show(Nchi ya viwonder) yani nikiingia humu ni kama niko Churchill show. joto la jiwe 😀😀😀😀 Jichekelee kiasi usizeeke mapema kwa huzuni na kuirushia KQ mashida ya kwenu kwani hata hizo 3 hazibebi minofu 😀😀
 
Kabla ya ATCL kununua hizi ndege, KQ na Emirates ndizo zilizokua zinabeba nyama ya Tanzania kwenda Dubai. Sasa hivi hii cargo haipo tena, tegemeeni kupata hasara zaidi, endeleeni kubeba maua ambayo sio mazito hivyo hayalipi sana kwa KQ. teh..teh...teh...teh...teh..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwhyo hyo mbunge kuongelea hilo swala tz one hajui kitu wewe ndio unajuwa zaidi...unatuletea vitu vya kijinga hapa..kwhyo nyinyi mnajua kuliko huyo mbunge...bwahahaaa
Yule mbunge anajua nini sasa, ni wale wabunge wapo kwa ajili ya kuwaburudisha wakubwa kuondoa uchovu mida ya jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf imempa ban JPM na madege sasa yanaanza kuwa meat van. Soon palace itaitwa makumbusho kwake
 
Mbaya zaidi, we pay cash
 
Haters mwakani tunapokea dreamliner nyingine,hata roma aikujengwa siku 1
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…