Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha, mbona Kenya hawanunui Cargo plane kusafirishia maua?kama ni kweli na kuna uhaba wa transport ya nyama na inalipa kwanini wasingenunua cargo air plane ?
liinchi ya vibonzo hii
wimbo unaendelea Kama kawa na tunatanda karibu mikoa yote. mjomba si mchezo. karibuni ni joburg na India hakika tunatusuaWimbo wa ATCL na "kwa pesa zetu" uliishia wapi? zanaota kutu hata minofu imewashinda kusafirisha, walifikiri ndege ni daladala 😀😀