Juakali1980
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 798
- 506
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is the wrong way of promoting the Kiswahili Language..Soon some Ignorant Americans i.e DONALD TRUMP& his Deplorable supporters will soon think that anyone who speaks Kiswahili is a terrorist,just like the think of people who speak Arabic...KENYANS ON TWITTER SHOULD MAKE ABC to apologize..
Mkuu,
Unajua ukiwa ughaibuni na unazungumza Kiswahili na mwenzio Mswahili, Waarabu au wanaojua lugha ya Kiarabu huwa wanahisi kuwa unaongea Kiarabu hasahasa kukiwa na Makelele mengi iwe sokoni au ktk usafiri wa umma maana kuna maneno mengi yamekopwa toka lugha ya Kiarabu.
Pia ukiwa ktk hali hiyo hiyo niliyoitolea mfano Ughaibuni watu wa kutoka Afrika ya Kusini au Zimbabwe (Wa asili zote wa-Afrikaans/Walowezi na Weusi) hufikiri unaongea lugha mojawapo za huko kwao wakati unapiga gumzo kwa Kiswahili.
Si bure ndiyo ,maana Lugha ya Kiswahili inakuwa lugha-pendwa kuwakilisha ''Uafrika'' iwe ni suala la ''Udikteta'', ''Ushujaa wa ki-Umslopogaas'', ''Ukachero wa Kimataifa'' n.k katika tasnia ya kimataifa ya filamu au tamthiliya.
Wameanza kujifunza lughaSidhani wanajaribu kuhusisha lugha pendwa na ugaidi. producers wa ma movies wanapotaka kuwasilisha lugha ya kiafrika mara moja "suuwaheely" ndo ya inafahamika zaidi na kupata waigizaji wake huko pia rahisi kwa vile wabongo na hasa wakenya wengi waishio kwao