Is Kiswahili Language Being Linked to Terrorism?

This is the wrong way of promoting the Kiswahili Language..Soon some Ignorant Americans i.e DONALD TRUMP& his Deplorable supporters will soon think that anyone who speaks Kiswahili is a terrorist,just like the think of people who speak Arabic...KENYANS ON TWITTER SHOULD MAKE ABC to apologize..
 
I am not so sure whether this is something to worry about, yes we have so many Swahili speaking terrorists, on the same breadth we have others speaking Pakistan's Urdu, Gujaret, Arabic etc.
The movie is only depicting what's happening out there.
 
This is the wrong way of promoting the Kiswahili Language..Soon some Ignorant Americans i.e DONALD TRUMP& his Deplorable supporters will soon think that anyone who speaks Kiswahili is a terrorist,just like the think of people who speak Arabic...KENYANS ON TWITTER SHOULD MAKE ABC to apologize..

Mkuu,
Unajua ukiwa ughaibuni na unazungumza Kiswahili na mwenzio Mswahili, Waarabu au wanaojua lugha ya Kiarabu huwa wanahisi kuwa unaongea Kiarabu hasahasa kukiwa na Makelele mengi iwe sokoni au ktk usafiri wa umma maana kuna maneno mengi yamekopwa toka lugha ya Kiarabu.

Pia ukiwa ktk hali hiyo hiyo niliyoitolea mfano Ughaibuni watu wa kutoka Afrika ya Kusini au Zimbabwe (Wa asili zote wa-Afrikaans/Walowezi na Weusi) hufikiri unaongea lugha mojawapo za huko kwao wakati unapiga gumzo kwa Kiswahili.

Si bure ndiyo ,maana Lugha ya Kiswahili inakuwa lugha-pendwa kuwakilisha ''Uafrika'' iwe ni suala la ''Udikteta'', ''Ushujaa wa ki-Umslopogaas'', ''Ukachero wa Kimataifa'' n.k katika tasnia ya kimataifa ya filamu au tamthiliya.
 
kiswahili is a beautiful language, akikuangalia unamuuliza, 'do you have a problem with me speaking swahili, you know, a language spoken by 130 million in east Africa?
 
Sidhani wanajaribu kuhusisha lugha pendwa na ugaidi. producers wa ma movies wanapotaka kuwasilisha lugha ya kiafrika mara moja "suuwaheely" ndo ya inafahamika zaidi na kupata waigizaji wake huko pia rahisi kwa vile wabongo na hasa wakenya wengi waishio kwao
 
Mkuu,
Unajua ukiwa ughaibuni na unazungumza Kiswahili na mwenzio Mswahili, Waarabu au wanaojua lugha ya Kiarabu huwa wanahisi kuwa unaongea Kiarabu hasahasa kukiwa na Makelele mengi iwe sokoni au ktk usafiri wa umma maana kuna maneno mengi yamekopwa toka lugha ya Kiarabu.

Pia ukiwa ktk hali hiyo hiyo niliyoitolea mfano Ughaibuni watu wa kutoka Afrika ya Kusini au Zimbabwe (Wa asili zote wa-Afrikaans/Walowezi na Weusi) hufikiri unaongea lugha mojawapo za huko kwao wakati unapiga gumzo kwa Kiswahili.

Si bure ndiyo ,maana Lugha ya Kiswahili inakuwa lugha-pendwa kuwakilisha ''Uafrika'' iwe ni suala la ''Udikteta'', ''Ushujaa wa ki-Umslopogaas'', ''Ukachero wa Kimataifa'' n.k katika tasnia ya kimataifa ya filamu au tamthiliya.

Kweli kabisa..majina kama salamu,arubaini n.k yamekopwa toka lugha ya Kiarabu...
 
Sidhani wanajaribu kuhusisha lugha pendwa na ugaidi. producers wa ma movies wanapotaka kuwasilisha lugha ya kiafrika mara moja "suuwaheely" ndo ya inafahamika zaidi na kupata waigizaji wake huko pia rahisi kwa vile wabongo na hasa wakenya wengi waishio kwao
Wameanza kujifunza lugha

The Chinese too are not being left behind..here is a very beautiful rendition of Hakuna matata

Another Hakuna matata by Mani
 
Mkuu,
Unajua ukiwa ughaibuni na unazungumza Kiswahili na mwenzio Mswahili, Waarabu au wanaojua lugha ya Kiarabu huwa wanahisi kuwa unaongea Kiarabu hasahasa kukiwa na Makelele mengi iwe sokoni au ktk usafiri wa umma maana kuna maneno mengi yamekopwa toka lugha ya Kiarabu.

Pia ukiwa ktk hali hiyo hiyo niliyoitolea mfano Ughaibuni watu wa kutoka Afrika ya Kusini au Zimbabwe (Wa asili zote wa-Afrikaans/Walowezi na Weusi) hufikiri unaongea lugha mojawapo za huko kwao wakati unapiga gumzo kwa Kiswahili.

Si bure ndiyo ,maana Lugha ya Kiswahili inakuwa lugha-pendwa kuwakilisha ''Uafrika'' iwe ni suala la ''Udikteta'', ''Ushujaa wa ki-Umslopogaas'', ''Ukachero wa Kimataifa'' n.k katika tasnia ya kimataifa ya filamu au tamthiliya.

Haswaa
 
Back
Top Bottom