Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
​
Hakuna ubishi kwamba Messi ndio mchezaji bora kwa waliopo sasa, ila kumekuwa na arguments kibao between futbol fanatics kwamba Messi ndio mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea. Kwa mara ya pili mfululizo kashindwa kuiongoza timu yake ya taifa kuchukua kombe baada ya kufika fainali. I mean, wachezaji kama Ronaldo (The original) na Zidane walifanya aliyoshindwa Messi, ila bado anachukuliwa kama amewazidi, kwa lipi??
Burudani zaidi ni kwamba, kuna talks za Messi kukataa Player of the tournament award aliyokuwa offered, heshima sana kwake kama ni kweli. With just a goal and 3 wacky assists, ingekuwa ni fedheha sana kama angeikubali hiyo tuzo. Unafiki pembeni, Messi alionekana kwenye nusu fainali tu, kwingine kote alikuwa msindikizaji.
Another terrible thing about Messi, jamaa ni terrible Captain. Angalia tu body language yake katika hizo picha. Game iliyoisha leo alishindwa kabisa kuwaongoza wenzake kuonyesha uanamichezo na kuwapongeza washindi (Chile), instead, Argentina walielekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kabla hata Chile hawajapewa kombe lao.
Say whatever you wanna say, Messi is only 'human' and HE IS NOT THE G.O.A.T. Maybe Barcelona's, but definitely not the world's.