Is Messi really the G.O.A.T?

Is Messi really the G.O.A.T?

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
13,012
Reaction score
23,633
CJHtAC8UYAAMJrC.jpg



​
mess_getty05072015.jpg


messi_getty05072015.jpg


Hakuna ubishi kwamba Messi ndio mchezaji bora kwa waliopo sasa, ila kumekuwa na arguments kibao between futbol fanatics kwamba Messi ndio mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea. Kwa mara ya pili mfululizo kashindwa kuiongoza timu yake ya taifa kuchukua kombe baada ya kufika fainali. I mean, wachezaji kama Ronaldo (The original) na Zidane walifanya aliyoshindwa Messi, ila bado anachukuliwa kama amewazidi, kwa lipi??

Burudani zaidi ni kwamba, kuna talks za Messi kukataa Player of the tournament award aliyokuwa offered, heshima sana kwake kama ni kweli. With just a goal and 3 wacky assists, ingekuwa ni fedheha sana kama angeikubali hiyo tuzo. Unafiki pembeni, Messi alionekana kwenye nusu fainali tu, kwingine kote alikuwa msindikizaji.

Another terrible thing about Messi, jamaa ni terrible Captain. Angalia tu body language yake katika hizo picha. Game iliyoisha leo alishindwa kabisa kuwaongoza wenzake kuonyesha uanamichezo na kuwapongeza washindi (Chile), instead, Argentina walielekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kabla hata Chile hawajapewa kombe lao.

Say whatever you wanna say, Messi is only 'human' and HE IS NOT THE G.O.A.T. Maybe Barcelona's, but definitely not the world's.


CJIsGVJWoAEY-eZ.jpg


lionel-messi-argentina-copa-america-final_1hd1jye12daca1ggp79pj6g9rh.jpg


449183-argentinas-messi-takes-off-his-medal-after-the-2014-world-cup-final-ag.jpg
 
Labda kama Ronaldo original, Saint Gaucho,Ustaadhi Zidane wasingekwepo.!!

Messi ni overrated sababu tu sahizi hakuna great players!!

Nessi hawezi hata kuwa kwenye Top5
 
Na umri ndo unaanza kumtupa mkono, sijui atayafanya lini hayo!!
 
Messi ni nuksi hata akiwa amekaa tu uwanjani
 
Hivi nyie ni wageni kwenye mpira ?

Football is a team sport hio sio Golf au Tennis...,

Cup Competition sio kama League.., the Best team does not necessarily lift the Cup inategemea on the day umeamkaje na umecheza na nani na a bit of luck...

Kwahio ulitaka apige penalty yake mwenyewe na zile za waliokosa apige yeye na achukue nafasi ya kipa kuzuia penalty nyingine
 
watu wanaangaliaa kutochukua kombe wanashindwa kujua messi ndiyo hupeleka timu fainali kwa magoli na assists. mwaka 2005 walichukua world cup u20 akiibuka mchezaji na mfungaji bora. toka 2012 kacheza mechi 33 na kafunga goli 27. huwezi mbeza mtu kama huyu labda uwe na chuki naye.
 
Tatizo wanamkamia sana

nani amemkamia?
Joti mechi ya jana hakukamiwa alijikaba mwenyewe na waala hakuwa na madhara.

na sio jana tu.
hata ile fainali dhidi ya German alijamba na hakuwa na madhara yoyote.
 
Messi mavi matupu..anategemea mbeleko za marefa spain ...na hawezi kuchukua mwanasoka bora wa dunia next year kwa trend hii
 
Hivi nyie ni wageni kwenye mpira ?

Football is a team sport hio sio Golf au Tennis...,

Cup Competition sio kama League.., the Best team does not necessarily lift the Cup inategemea on the day umeamkaje na umecheza na nani na a bit of luck...

Kwahio ulitaka apige penalty yake mwenyewe na zile za waliokosa apige yeye na achukue nafasi ya kipa kuzuia penalty nyingine


hayo mambo sijui inategemea kaamkaje au sijui kalalaje au sijui nyota haikung'aa ni wapuuzi na mazezeta ndio wanaweza kuamini na kuelekeza utetezi wao huko.

ila watu wa soka wote huamini katika matokeo ya mwisho.

full stop
 
watu wanaangaliaa kutochukua kombe wanashindwa kujua messi ndiyo hupeleka timu fainali kwa magoli na assists. mwaka 2005 walichukua world cup u20 akiibuka mchezaji na mfungaji bora. toka 2012 kacheza mechi 33 na kafunga goli 27. huwezi mbeza mtu kama huyu labda uwe na chuki naye.


1. world cup
2. copa america
 
Argentina bado laana ya goli la mkono la maradona inawatafuna hata wawe na kikos cha aje hawawezi beba kombe lolote
 
Mnaombeza messi ni maboya sana. Unataka angefanjaje Jana. Apige penati zote yye au? Acheni ukuda
 
The GOAT?

GOAT means Greatest Of All Time.

Now, how can one even ask that question about Messi?

Let's get serious y'all.
 
Back
Top Bottom