Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 230
Business leadership si kitu cha utani tani hasa kama unatafuta a visionary leader who is expected to set a new direction for the company. Unaweza kupata managers wa kutosha lakini kupata leaders ni ngumu maana hao ni rare specie. Leaders who can disrupt status quo are not easy to find. Na pia leaders hawapimwi kwa kiwango cha elimu. CEO wa Safaricom sidhani kama amemaliza hata chuo, mtanisahihisha kama nimekosea. So I can understand Mr Mufuruki's furstrations to some extent. Such positions should not be restricted by a sense of nationality if you want to get a pool of best candidates. Naomba tusome vitabu vya Richard Branson kuona how he sometimes picks people to head Virgin's subsidiaries. Muda mwingine inabidi ulete mtu tofauti ili kubadilisha culture ya kampuni. Vitu vinabadilika, ushindani unaongezeka, kwa hiyo kuchukua tu mtu sababu ni manager na kigezo cha uzawa vinaweza fanya mkashindwa kukua.
Sekta ya Telcos inazidi kuwa ngumu. Kutegemea Data na Voice pekee inaweza isiwe na future kubwa. Kwa mtazamo wangu labda walimchukua Sylivia kwa kuangalia ambacho amefanya akiwa Safari com. Safaricom wapo vizuri sana upande wa innovation. Ukiangalia trend ya product mpya za safari com zimejikita kwenye content na huko ndo kwenye future. Mfano wana music app inaitwa Songa na pia wameingia kwenye social network.
Tunahitaji kujitathmini kwa kweli. Hili jambo lipo reflected kwenye mambo mengi. Mfano recent kumekuwa na hela nyingi kwenye mambo ya innovation lakini tatizo vijana wetu wengi hawana soft skills. Kwa hiyo tusiishi kwenye denial kuna tatizo kubwa. Kwani kinachofanya tusite site kwenye EAC ni nini? Ni kwamba our people are not ready kushindana na wenzetu hasa wakenya. Kwa hiyo tuyafanyie kazi madhaifu yetu badala ya kuhudhunika. Negative feedback is heart breaking lakini kuna muda inabidi tu tuambiane ukweli tusioneane aibu. Tufanye kazi kwa bidii na tuwe wabunifu. Nazisisitiza ukitaka uonekane kama kiongozi mzuri sehemu unayofanya kazi, acha kufanya kazi kwa mazoea, kuwa mbunifu. Pia wahimize waliochini yako wawe wabunifu na wape nafasi ya kuonyesha vipaji vyao. Tutafika tu taratibu. Tuchukulie haya yote kama ni changamoto ili tuwe bora zaidi.