Kama Kiingereza ulichoandika na cha wahitimu wengi wa sasa ni kigezo, Mufuruki may be justified.
Na jinsi ulivyomsifia, mtu ambaye kayumba mpaka kumsifia jiwe kisiasa saaana tu, wakati tulijua jiwe atamnyuka huyu malaika naye aishi kama shetani, halafu akamnyuka kweli, unaonesha sio wewe tu hujielewi.
Sio tu hao wahitimu wetu wengi hawana sifa.
Hata Mufuruki mwenyewe ni kati ya wale wale wasio na critical thinking ya kusoma mchezo na kujua huyu jiwe hana akili nzuri na si mtu wa kumshabikia.
Sasa huyo ndiye veteran wa enzi ya Nyerere, chairman wa CEO Roundtable.
Hao Johnny come lately watakuwaje?
Mufuruki alivyomshadadia jiwe nilimshngaa sana.
Serikali ya jiwe ilivyomnyuka mpaka akalalamika nikamsikitikia sana.
Lakini nikasema it serves him right for being "bendera kufuata upepo".