Is Mufuruki suffering the colonial legacy or nobility syndrome?

Business leadership si kitu cha utani tani hasa kama unatafuta a visionary leader who is expected to set a new direction for the company. Unaweza kupata managers wa kutosha lakini kupata leaders ni ngumu maana hao ni rare specie. Leaders who can disrupt status quo are not easy to find. Na pia leaders hawapimwi kwa kiwango cha elimu. CEO wa Safaricom sidhani kama amemaliza hata chuo, mtanisahihisha kama nimekosea. So I can understand Mr Mufuruki's furstrations to some extent. Such positions should not be restricted by a sense of nationality if you want to get a pool of best candidates. Naomba tusome vitabu vya Richard Branson kuona how he sometimes picks people to head Virgin's subsidiaries. Muda mwingine inabidi ulete mtu tofauti ili kubadilisha culture ya kampuni. Vitu vinabadilika, ushindani unaongezeka, kwa hiyo kuchukua tu mtu sababu ni manager na kigezo cha uzawa vinaweza fanya mkashindwa kukua.

Sekta ya Telcos inazidi kuwa ngumu. Kutegemea Data na Voice pekee inaweza isiwe na future kubwa. Kwa mtazamo wangu labda walimchukua Sylivia kwa kuangalia ambacho amefanya akiwa Safari com. Safaricom wapo vizuri sana upande wa innovation. Ukiangalia trend ya product mpya za safari com zimejikita kwenye content na huko ndo kwenye future. Mfano wana music app inaitwa Songa na pia wameingia kwenye social network.

Tunahitaji kujitathmini kwa kweli. Hili jambo lipo reflected kwenye mambo mengi. Mfano recent kumekuwa na hela nyingi kwenye mambo ya innovation lakini tatizo vijana wetu wengi hawana soft skills. Kwa hiyo tusiishi kwenye denial kuna tatizo kubwa. Kwani kinachofanya tusite site kwenye EAC ni nini? Ni kwamba our people are not ready kushindana na wenzetu hasa wakenya. Kwa hiyo tuyafanyie kazi madhaifu yetu badala ya kuhudhunika. Negative feedback is heart breaking lakini kuna muda inabidi tu tuambiane ukweli tusioneane aibu. Tufanye kazi kwa bidii na tuwe wabunifu. Nazisisitiza ukitaka uonekane kama kiongozi mzuri sehemu unayofanya kazi, acha kufanya kazi kwa mazoea, kuwa mbunifu. Pia wahimize waliochini yako wawe wabunifu na wape nafasi ya kuonyesha vipaji vyao. Tutafika tu taratibu. Tuchukulie haya yote kama ni changamoto ili tuwe bora zaidi.
 
Kama Kiingereza ulichoandika na cha wahitimu wengi wa sasa ni kigezo, Mufuruki may be justified.

Na jinsi ulivyomsifia, mtu ambaye kayumba mpaka kumsifia jiwe kisiasa saaana tu, wakati tulijua jiwe atamnyuka huyu malaika naye aishi kama shetani, halafu akamnyuka kweli, unaonesha sio wewe tu hujielewi.

Sio tu hao wahitimu wetu wengi hawana sifa.

Hata Mufuruki mwenyewe ni kati ya wale wale wasio na critical thinking ya kusoma mchezo na kujua huyu jiwe hana akili nzuri na si mtu wa kumshabikia.

Sasa huyo ndiye veteran wa enzi ya Nyerere, chairman wa CEO Roundtable.

Hao Johnny come lately watakuwaje?

Mufuruki alivyomshadadia jiwe nilimshngaa sana.

Serikali ya jiwe ilivyomnyuka mpaka akalalamika nikamsikitikia sana.

Lakini nikasema it serves him right for being "bendera kufuata upepo".
 
Alianza biashara kwa wizi wa pesa za shirika la serikali, leo hii anajidai mfanyabiashara mwema.
 
He is not serious
 
Mkuu tukiacha mapungufu ya Johnny hivi kweli hakuna mtanzania anaweza kuimudu ile nafasi?

Hata diaspora hawapo wa kuja kuokoa jahazi?

Ukiangalia huyo Sylvia Mulinge alikuwa diaspora wakati anapewa nafasi Vodafone. Alitokea SA.
Akakuzwa zaidi na kufikia pale alipo.
 

They should read and watch the news to know the current affairs about Africa esp. Tanzania. This is not a propaganda against our nation it is the reality. The World bank insist on investing in people rather than infrastructure. Elimu, Elimu Elimu. Without best education Tanzania will be always the observer or sit and watch when others are advancing.

How did we get Prof. Rweyemamu, Samuel Lwakatare those are the few I am mentioning. Mwalimu new that without our own specialists in minerals or economy we will never advance. What happended after Mwalimu??? We are crying cos education to us is building labs without teachers or pupils without teachers.
 
kama haoni watu wa kariba hiyo namshangaa kuendelea kuishi katika nchi ya wajinga wakati yeye tayari ni mwerevu
Atoke aende wapi wakati amekuta watu wamelala na badala ya kuwaamsha anatumia fursa vilivyo.....si unaona wanasiasa wanavyotumia fursa ya ukondoo wa watanzania?
 
...."If we have managed to find two tanzanian who can be president and prime minister are we still short of capable people to be CEOs?/ Thats typical insult to the national"....What exactly are you implying here in respect to Mafuruki's comments?
 
Nilijua tuu hiki ndicho kinawasumbua, [emoji23] [emoji23] yaani as always mtu ambaye ni mkweli na bold hamumpendi, sasa alipopewa nafasi aongee mazingira ya biashara ulitaka aseme uwongo ili rais afurahi siyo? Hata kama ningekuwa mimi ndiyo chair wa body cha kwanza ni kutafuta mtu competent, hata kama ni mchina, hayo mengine ndiyo yatafuata. Ka mradi tuu ka UDART kanawatoa jasho hapa ndo iwe big company Kama vodacom???
 

With due respect, the two persons you cite here as an example can never be defined as business managers under any business language. Would you call anyone who invites Ethiopia to use the Dar port for their imports in Ethiopia a business manager?

Guys; for once let's start being honest with ourselves. We don't have many qualified and skilled people in the country; period.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Umesoma vizuri maelezo ya mleta uzi?,hebu soma tena kama lugha ya kimombo haipandi tafuta makalimani
 
Umesoma vizuri maelezo ya mleta uzi?,hebu soma tena kama lugha ya kimombo haipandi tafuta makalimani
 
How many many do you want? 1 million? a half ...... Many is immeasurable!
 
Umesoma vizuri maelezo ya miifugayuxleta uzi?,hebu soma tena kama lugha ya kimombo haipandi tafuta makalimani
 
Hako kasichana unaamini kaliletwa kwa sababu ya Competence? Mweneyekiti mwenyewe ni huyo ambaye historia inatueleza alianza mafanikio kwa wizi! Wote walikuwa kundi moja la kutaka kufanya sabotage ya Vodacom, baadaye asepe na mabilioni kama walivyozoea. Kenya hakuna CEO wa kuisaidia TZ. Never! Hatuhitaji kufundishwa na mzembe juu ya hilo.
 
He never made his fortune out of competence and efficiency rather, out of best criminality.
 
Wewe endelea kulia lia eti kasichana wakati ameaminiwa na big company.... Watu siku hizi wanataka mtu anayeweza ku deliver na pia ambaye tayari ameonyesha wonders in related business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…