Kame deliver wapii! Unaweza kudeliver kwa theory! We vipi? Kamtu kanaletwa kufanya sabotage we unasema delivery! Mawazo kama haya ndo yanamfanya huyu mzembe adhalau elimu yetu nini?Wewe endelea kulia lia eti kasichana wakati ameaminiwa na big company.... Watu siku hizi wanataka mtu anayeweza ku deliver na pia ambaye tayari ameonyesha wonders in related business.
Safaricom.... Uliza kingine.Kame deliver wapii! Unaweza kudeliver kwa theory! We vipi? Kamtu kanaletwa kufanya sabotage we unasema delivery! Mawazo kama haya ndo yanamfanya huyu mzembe adhalau elimu yetu nini?
How many many do you want? 1 million? a half ...... Many is immeasurable!
Hili la kuchukua mtu mwenye kadegree kamoja tena ka sayansi na mapishi ya chakula na ndio awe CEO wa Vodacom ilikuwa ni kujilipua sana. Kuna maelfu ya Watanzania wenye qualification hiyo tena na zaidi. Bodi ya uajiri ya Vodacom walijiandaa kushindwa kabla mchezo haujaanza, maana sasa hivi kupata kibali cha kazi kwa sifa za kawaida kabisa kama za huyu binti ni ngumu sana.
Sidhani kama mtanzania mwenye CV ya hivi angeweza hata kuwa mkuu wa kitengo kwenye shirika kubwa huko Kenya!!!
Sisi Tulijua tu mara moja. Kangekuja na viatu virefu na kujidai mizunguko ya hapa na pale bila ufanisi. Lengo ilikuwa ni kuimaliza Vodacom na kutuletea Safaricom. Sasa eti huyu anayejiita 'succeful' analaumu kwa kutumia vijineno vya kiingereza. Na mimi narudia, kwa sifa za nyuma za mtu huyu, lazima alikuwa pamoja na Wakenya ktk njama hizo.Hili la kuchukua mtu mwenye kadegree kamoja tena ka sayansi na mapishi ya chakula na ndio awe CEO wa Vodacom ilikuwa ni kujilipua sana. Kuna maelfu ya Watanzania wenye qualification hiyo tena na zaidi. Bodi ya uajiri ya Vodacom walijiandaa kushindwa kabla mchezo haujaanza, maana sasa hivi kupata kibali cha kazi kwa sifa za kawaida kabisa kama za huyu binti ni ngumu sana.
Sidhani kama mtanzania mwenye CV ya hivi angeweza hata kuwa mkuu wa kitengo kwenye shirika kubwa huko Kenya!!!
Siyo Tatizo la TZ ni Dunia nzima. Huwezi kuingia Hospitali ukasema una ufanisi wa kazi ya tiba bila cheti! Huwezi kuleta nesi achore jengo kwa sababu ya ufanisi wake sijui wa wapi!Tatizo la Watanzania ni kuthamini vyeti. Ndio maana mnafukuza watu competent (kwa kuwa hawana vyeti japo wana-deliver) na kuajiri incompetent (kwa kuwa wana vyeti haijalishi wali-cram au kuiba mitihani). Matokeo yake ndiyo haya yanayoonekana sasa, blunder after blunder after blunder.
CEO wa Safaricom hana degree bosi. Kutumia kigezo cha ELIMU inatufanya tushindwe kuona picha kubwaHili la kuchukua mtu mwenye kadegree kamoja tena ka sayansi na mapishi ya chakula na ndio awe CEO wa Vodacom ilikuwa ni kujilipua sana. Kuna maelfu ya Watanzania wenye qualification hiyo tena na zaidi. Bodi ya uajiri ya Vodacom walijiandaa kushindwa kabla mchezo haujaanza, maana sasa hivi kupata kibali cha kazi kwa sifa za kawaida kabisa kama za huyu binti ni ngumu sana.
Sidhani kama mtanzania mwenye CV ya hivi angeweza hata kuwa mkuu wa kitengo kwenye shirika kubwa huko Kenya!!!
Siyo Tatizo la TZ ni Dunia nzima. Huwezi kuingia Hospitali ukasema una ufanisi wa kazi ya tiba bila cheti! Huwezi kuleta nesi achore jengo kwa sababu ya ufanisi wake sijui wa wapi!
Roho ya kukosa.Tatizo la Wabongo kuwa na chuki dhidi ya walio nacho kuwazidi.Angekuwa mzungu au mwarabu husikii kashfa akiwa tajiri zaidi ya kumpamba kwa misifa kedekede.Acheni Roho koroshoHuyu jamaa ndo wale wanakuibia baadae anakuita fala,hafai
Hakuna mtu anayemuonea wivu,hapa tutema fact!,chanzo cha ukwasi ni pesa iso halali ikaendelezwaRoho ya kukosa.Tatizo la Wabongo kuwa na chuki dhidi ya walio nacho kuwazidi.Angekuwa mzungu au mwarabu husikii kashfa akiwa tajiri zaidi ya kumpamba kwa misifa kedekede.Acheni Roho korosho
Nasisitiza hayo ni mawazo ya kimaskini ndugu yangu.Tunayo waswahili tu.Unahalalisha umaskini wako kwa kusagia walio nacho.Hilo halikusaidii kabisa.Hakuna mtu anayemuonea wivu,hapa tutema fact!,chanzo cha ukwasi ni pesa iso halali ikaendelezwa
Kama Kiingereza ulichoandika na cha wahitimu wengi wa sasa ni kigezo, Mufuruki may be justified.
Na jinsi ulivyomsifia, mtu ambaye kayumba mpaka kumsifia jiwe kisiasa saaana tu, wakati tulijua jiwe atamnyuka huyu malaika naye aishi kama shetani, halafu akamnyuka kweli, unaonesha sio wewe tu hujielewi.
Sio tu hao wahitimu wetu wengi hawana sifa.
Hata Mufuruki mwenyewe ni kati ya wale wale wasio na critical thinking ya kusoma mchezo na kujua huyu jiwe hana akili nzuri na si mtu wa kumshabikia.
Sasa huyo ndiye veteran wa enzi ya Nyerere, chairman wa CEO Roundtable.
Hao Johnny come lately watakuwaje?
Mufuruki alivyomshadadia jiwe nilimshngaa sana.
Serikali ya jiwe ilivyomnyuka mpaka akalalamika nikamsikitikia sana.
Lakini nikasema it serves him right for being "bendera kufuata upepo".
Kivipi mkuu?Huyu na Reginald Mengi wananishangaza sana
Una kiwewe, huna hoja!Sir Alex Ferguson anafundisha Business Management (Sports Psychology) universities kadhaa. Ana degree ngapi? Bill Gates ana degree ngapi? Unaweza kuwalinganisha hao wawili na dr jiwe kwa ufanisi?
Una kiwewe, huna hoja!
Huijui EAC.Jipe nafasi ya kusoma au hata kusikiliza hali ay EAC. Ukitaka kujua kwa nini TZ inasita ktk maamuzi ya EAC, jiulize mwenyewe kwa nini TZ hiyo hiyo inaongoza vizuri ndani ya SADC!Business leadership si kitu cha utani tani hasa kama unatafuta a visionary leader who is expected to set a new direction for the company. Unaweza kupata managers wa kutosha lakini kupata leaders ni ngumu maana hao ni rare specie. Leaders who can disrupt status quo are not easy to find. Na pia leaders hawapimwi kwa kiwango cha elimu. CEO wa Safaricom sidhani kama amemaliza hata chuo, mtanisahihisha kama nimekosea. So I can understand Mr Mufuruki's furstrations to some extent. Such positions should not be restricted by a sense of nationality if you want to get a pool of best candidates. Naomba tusome vitabu vya Richard Branson kuona how he sometimes picks people to head Virgin's subsidiaries. Muda mwingine inabidi ulete mtu tofauti ili kubadilisha culture ya kampuni. Vitu vinabadilika, ushindani unaongezeka, kwa hiyo kuchukua tu mtu sababu ni manager na kigezo cha uzawa vinaweza fanya mkashindwa kukua.
Sekta ya Telcos inazidi kuwa ngumu. Kutegemea Data na Voice pekee inaweza isiwe na future kubwa. Kwa mtazamo wangu labda walimchukua Sylivia kwa kuangalia ambacho amefanya akiwa Safari com. Safaricom wapo vizuri sana upande wa innovation. Ukiangalia trend ya product mpya za safari com zimejikita kwenye content na huko ndo kwenye future. Mfano wana music app inaitwa Songa na pia wameingia kwenye social network.
Tunahitaji kujitathmini kwa kweli. Hili jambo lipo reflected kwenye mambo mengi. Mfano recent kumekuwa na hela nyingi kwenye mambo ya innovation lakini tatizo vijana wetu wengi hawana soft skills. Kwa hiyo tusiishi kwenye denial kuna tatizo kubwa. Kwani kinachofanya tusite site kwenye EAC ni nini? Ni kwamba our people are not ready kushindana na wenzetu hasa wakenya. Kwa hiyo tuyafanyie kazi madhaifu yetu badala ya kuhudhunika. Negative feedback is heart breaking lakini kuna muda inabidi tu tuambiane ukweli tusioneane aibu. Tufanye kazi kwa bidii na tuwe wabunifu. Nazisisitiza ukitaka uonekane kama kiongozi mzuri sehemu unayofanya kazi, acha kufanya kazi kwa mazoea, kuwa mbunifu. Pia wahimize waliochini yako wawe wabunifu na wape nafasi ya kuonyesha vipaji vyao. Tutafika tu taratibu. Tuchukulie haya yote kama ni changamoto ili tuwe bora zaidi.
Kumbe naye alinyukwa?,inaonekana kuna malaika wengi wanafinywa kimya kimya nyuma ya paziaKama Kiingereza ulichoandika na cha wahitimu wengi wa sasa ni kigezo, Mufuruki may be justified.
Na jinsi ulivyomsifia, mtu ambaye kayumba mpaka kumsifia jiwe kisiasa saaana tu, wakati tulijua jiwe atamnyuka huyu malaika naye aishi kama shetani, halafu akamnyuka kweli, unaonesha sio wewe tu hujielewi.
Sio tu hao wahitimu wetu wengi hawana sifa.
Hata Mufuruki mwenyewe ni kati ya wale wale wasio na critical thinking ya kusoma mchezo na kujua huyu jiwe hana akili nzuri na si mtu wa kumshabikia.
Sasa huyo ndiye veteran wa enzi ya Nyerere, chairman wa CEO Roundtable.
Hao Johnny come lately watakuwaje?
Mufuruki alivyomshadadia jiwe nilimshngaa sana.
Serikali ya jiwe ilivyomnyuka mpaka akalalamika nikamsikitikia sana.
Lakini nikasema it serves him right for being "bendera kufuata upepo".