Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungepost kwenye jukwaa lao uone moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si mpokoti wa Turkana huyo?
Kuna siku nilikuwa nasafiri nikakuta Mkenya anawaambia Wazungu mlima Kilimanjaro upo Kenya.
Tulibishana saana hadi akanuna...akaniambia Kenya wamefundishwa hivyo.
Wageni wanamwambia lakini mbona tunajua upo Tanzania anasema hapana. Tanzania wanaona kilele tu.
Si mpokoti wa Turkana huyo?
Kuna siku nilikuwa nasafiri nikakuta Mkenya anawaambia Wazungu mlima Kilimanjaro upo Kenya.
Tulibishana saana hadi akanuna...akaniambia Kenya wamefundishwa hivyo.
Wageni wanamwambia lakini mbona tunajua upo Tanzania anasema hapana. Tanzania wanaona kilele tu.
Ningemfanyaje sasa...anadanganya watu.
Nilimkomalia hadi akakubali...Mgeni mmoja akapiga wimbo wa Yamoto nimeusahau jina akadakia hao pia ni Wakenya.
Hapo hasira zikanipanda nikasema acha nirukie mada tu maana huyu boya kaanza Kilimanjaro nimekaa kimya sasa na Yamoto pia nimnyamazie.
Mnipe namba wakuu yakitokea niwatee mbele yao.
Mwenyewe nimekasirika kishenzi... Si ungetumia Google kiongozi kumaliza ubishiYaani...uje tupozane hasira basi.
Sikuwaangusha wakuu....hasira zenu zote nilizibeba mimi.Mwenyewe nimekasirika kishenzi... Si ungetumia Google kiongozi kumaliza ubishi
Ulifanya poa kwakweliSikuwaangusha wakuu....hasira zenu zote nilizibeba mimi.