Tetesi: Is Nandy really Tanzanian or Kenyan?

Tetesi: Is Nandy really Tanzanian or Kenyan?

Si mpokoti wa Turkana huyo?

Kuna siku nilikuwa nasafiri nikakuta Mkenya anawaambia Wazungu mlima Kilimanjaro upo Kenya.

Tulibishana saana hadi akanuna...akaniambia Kenya wamefundishwa hivyo.

Wageni wanamwambia lakini mbona tunajua upo Tanzania anasema hapana. Tanzania wanaona kilele tu.
Ungepost kwenye jukwaa lao uone moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka kisenge..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si mpokoti wa Turkana huyo?

Kuna siku nilikuwa nasafiri nikakuta Mkenya anawaambia Wazungu mlima Kilimanjaro upo Kenya.

Tulibishana saana hadi akanuna...akaniambia Kenya wamefundishwa hivyo.

Wageni wanamwambia lakini mbona tunajua upo Tanzania anasema hapana. Tanzania wanaona kilele tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mshkaji unafaa sana kwenye utetez. Huyo mkenya manina zake
Ningemfanyaje sasa...anadanganya watu.

Nilimkomalia hadi akakubali...Mgeni mmoja akapiga wimbo wa Yamoto nimeusahau jina akadakia hao pia ni Wakenya.

Hapo hasira zikanipanda nikasema acha nirukie mada tu maana huyu boya kaanza Kilimanjaro nimekaa kimya sasa na Yamoto pia nimnyamazie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom