Is Obama Really in Tanzania? He Has Just Tweeted About Kenya

Is Obama Really in Tanzania? He Has Just Tweeted About Kenya

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
4,349
Reaction score
3,745
Juzi tumeambiwa kwamba Obama na familia yake yote wametua Serengeti kimya kimya.

A few minutes ago, Obama has posted on Facebook and Twitter about his trip to Kenya and South Africa.
From his post, he says that "This week he is travelling to Africa"

No. 44 also gives a shout out to Kenyan author Ngugi wa Thiong'o.

Full post:

obama.JPG
 
nadhani swali la kujiuliza sisi Watanzania ni... jee, mbona hajaitaja kabisa Serengeti wala Tanzania?
au mtasema kakatazwa na Uhuru??
Una uhakika hiyo ni tweets za Obama kweli?? Angekuwa Kenya hao manyang'ao wa kenya si wangekuwa wamejaa kwenye mitandao yote duniani. Obama huwa hapendi sana Kenya hasa mke wake kwa jinsi baba yake alivyomtelekeza enzi za uhai wake!!
 
wewe una uhakika siyo tweets zake?
 
Juzi tumeambiwa kwamba Obama na familia yake yote wametua Serengeti kimya kimya.

A few minutes ago, Obama has posted on Facebook and Twitter about his trip to Kenya and South Africa.
From his post, he says that "This week he is travelling to Africa"

No. 44 also gives a shout out to Kenyan author Ngugi wa Thiong'o.

Full post:

View attachment 808633
Kwani hata asipokuja TZ anasaidia nini
 
nadhani swali la kujiuliza sisi Watanzania ni... jee, mbona hajaitaja kabisa Serengeti wala Tanzania?
au mtasema kakatazwa na Uhuru??
Mkuu siku nyingine uwe unauliza maswali ya kiutu uzima. Serengeti alienda kupumzika (private) yeye na familia yake. Tofautisha na kenya na south africa ambako ataenda kwa shughuli maalum.
 
Wakenya buana nashangaa why mpo so desperate na obama n his family wakati obama hata hana tyme na ka nchi kao[emoji23][emoji23]

Just imagine mpka ametoka madarakani ndio anakumbuka kama kuna kenya wakati Tanzania ni mara ya pili sasa ameshazuru[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani after all that said and done, we uliyeleta mada unaona kuna tatizo gani Hasa. Mbona uzi mwingi tu huku ni unproved lakini unaendelea. Acheni kujidharau mkidhani ndo ujanja ni utumwa mkubwa aje asije so what
Ni ya Obama ila safari yake ya Serengeti ni private.
 
Back
Top Bottom