Is Obama Really in Tanzania? He Has Just Tweeted About Kenya

Is Obama Really in Tanzania? He Has Just Tweeted About Kenya

kwani akija ndo kibubu changu kitafurika dollar? aje asije atajijua mwenyewe msituchoshe maana mm binafsi sinufaiki kwa namna moja ama nyingine
 
Sawa tu mbona wakenya huwa wanasema mlima uko kwao
 
Yani wakenya mnatuchokoza mpaka tunatoa siri za watu. Wanakuja wengi huku ila tunaheshimu maisha yao binafsi. Eleweni maana ya Private visit.
 
hahahaha mtakufa kwa hasira.
IMG_20180713_195758.jpg
IMG_20180713_195801.jpg
Screenshot_2018-07-13-19-06-16-295_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom