Is Obama Really in Tanzania? He Has Just Tweeted About Kenya

Is Obama Really in Tanzania? He Has Just Tweeted About Kenya

Povu ruksa mungiki
Screenshot_20180713-190631.jpg
 
Kimya kimya, ukisikia wale warembo kwa T.v wakisema mpenzi mtazamaji, ndio sisi sasa.


Hahahah!, haki sina mbavu humu ndani.

Mpaka kukataa kama Obama kuja Bongo.

Ama kweli we're "good neighbors"/ cousins/brothers/rivals/tuliibiana mlima Kili! 😀
 
Hahahah!, haki sina mbavu humu ndani.

Mpaka kukataa kama Obama kuja Bongo.

Ama kweli we're "good neighbors"/ cousins/brothers/rivals/tuliibiana mlima Kili! 😀
Unaongea kuhusu Ml. Kilimanjaro wa Kenya au? 🙂
 
Nilijua tu hawa Watanzania ni ile bangi yao kutoka Moshi inawasumbua
Obama ameniudhi sana. Yaani anaingia Tanzania kwa wiki moja halafu anakuja Kenya siku moja. Kwani yeye ni nani? Yeye sio mungu, apotelee pote.
Haki wewe jamaa inabidi ukaishi Kiambuu na wale kondoo zenu au usogee Nyeri ukaishi na wale kuku wenu ,utafaa sana kuwapa huduma .
 
You are really enjoying yourself with this one! 😀 Wassup today Nalendwa


Hahah!, acha tu! 😀

It's funny every time there's KE vs TZ match.
Hata World Cup haivui dafu...lol!

Today, TGIF jirani.
Had some plans in place this time around.

So it's all good, in the neighborhood!
 
If, and only IF!, the Kili was in Kenya?!!

Wallah Tz tusingekuwa hata tunaongea! [emoji3]
What??? When did it stop being in Kenya??? I have this feeling that I just crossed some line but I don't know which. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom