kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
effects of using cheap bundles https://www.facebook.com/
nadhani swali la kujiuliza sisi Watanzania ni... jee, mbona hajaitaja kabisa Serengeti wala Tanzania?Wewe Nyang'au Obama katua KIA jumapili iliyopita akaelekea Serengeti ,sasa Serengeti ipo kwa nyanya yako au ?
Moshi kuna kahawa we MmasaiNilijua tu hawa Watanzania ni ile bangi yao kutoka Moshi inawasumbua
Una uhakika hiyo ni tweets za Obama kweli?? Angekuwa Kenya hao manyang'ao wa kenya si wangekuwa wamejaa kwenye mitandao yote duniani. Obama huwa hapendi sana Kenya hasa mke wake kwa jinsi baba yake alivyomtelekeza enzi za uhai wake!!nadhani swali la kujiuliza sisi Watanzania ni... jee, mbona hajaitaja kabisa Serengeti wala Tanzania?
au mtasema kakatazwa na Uhuru??
wewe una uhakika siyo tweets zake?Una uhakika hiyo ni tweets za Obama kweli?? Angekuwa Kenya hao manyang'ao wa kenya si wangekuwa wamejaa kwenye mitandao yote duniani. Obama huwa hapendi sana Kenya hasa mke wake kwa jinsi baba yake alivyomtelekeza enzi za uhai wake!!
Hizo badge kwa chest they do look similar with the tour operators during the will smith visit in Tanzania here.
Nadhani jibu ya swali hilo analo Obamanadhani swali la kujiuliza sisi Watanzania ni... jee, mbona hajaitaja kabisa Serengeti wala Tanzania?
au mtasema kakatazwa na Uhuru??
Hahaha Geza mara unaposti Sgr ya Kenya eti ni ya kwenu, sasa hivi unapost message ambayo haieleweki. Kwani bolt moja kwenye ubongo imepotea nikusaidie kutafuta? 😀😀
Kwani hata asipokuja TZ anasaidia niniJuzi tumeambiwa kwamba Obama na familia yake yote wametua Serengeti kimya kimya.
A few minutes ago, Obama has posted on Facebook and Twitter about his trip to Kenya and South Africa.
From his post, he says that "This week he is travelling to Africa"
No. 44 also gives a shout out to Kenyan author Ngugi wa Thiong'o.
Full post:
View attachment 808633
Mkuu siku nyingine uwe unauliza maswali ya kiutu uzima. Serengeti alienda kupumzika (private) yeye na familia yake. Tofautisha na kenya na south africa ambako ataenda kwa shughuli maalum.nadhani swali la kujiuliza sisi Watanzania ni... jee, mbona hajaitaja kabisa Serengeti wala Tanzania?
au mtasema kakatazwa na Uhuru??
ni uniform ya Singita GrumetiHizo badge kwa chest they do look similar with the tour operators during the will smith visit in Tanzania here.
So there is high chances that Obama is(was) in TanzaniaView attachment 808668
Ni ya Obama ila safari yake ya Serengeti ni private.Kwani after all that said and done, we uliyeleta mada unaona kuna tatizo gani Hasa. Mbona uzi mwingi tu huku ni unproved lakini unaendelea. Acheni kujidharau mkidhani ndo ujanja ni utumwa mkubwa aje asije so what