Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Kagame ali operate na ku accomplish hiyo mission bila serikali ya Tanzania kujua?

Inawezekana kabisa Tanzania hawakuwa na picha nzima. Sidhani gani Serkali ya Tanzania ingekuwa sehemu ya mauaji wa marais wawili tena wakitokea Tanzania!
 
mambo ya kusikitisha haya!

Kagame je kwa nini wewe usingiziwe mabo yote wewe??

Kuna ukweli!
 
Kagame huyuhuyu anahusishwa na Kifo cha Judge Prof Mwaikusa , RIP.
 
katika watu useless ni wewe. unatumia akili zako ku decipher what you think its right. huna evidence unabwabwaja tu mdomo sio lazima uandike hapa kama hujui nini unaongea. mimi ni mtanznaia ila i hate watznania sijui elimu yenu inawasaidia nini wajinga sana nyinyi
 
wapo wanao sema majambazi ndio chanzo cha kifo cha huyu former TISS,wngine nanadai ni kutokana na mambo nyeti ya kiusalama wa nchi yetu mara wengine kagame anahusika¿

nini hasa kili muua Imrani kombe?
 
ooopsss hiyo kwere.
 
Mungu na waliohusika kumuua ndio wanajua. Pengine Apson Mwang'onda anaweza kuja na maelezo zaidi kuhusiana na tukio hilo
 
Walioua ni Askari wa Tz..Tena kwa risasi nyingi..Kagame hapo ahusiki..

Kwa ufupi aliuawa kinyama na Serikali ndiyo inayojua sababu..
 
Mrema wa TLP wakati huo nccr anajua hiyo siri alimkaanga mazima mchaga mwenziwe hizo ndizo tetesi za mjini.Mrema anavaa ngozi ya kondoo lkn ni mubaya!!
 
wapo wanao sema majambazi ndio chanzo cha kifo cha huyu former TISS,wngine nanadai ni kutokana na mambo nyeti ya kiusalama wa nchi yetu mara wengine kagame anahusika¿

nini hasa kili muua Imrani kombe?
Aliuawa na CDM by MCHANGE, NAPE, and Shonza
 
wapo wanao sema majambazi ndio chanzo cha kifo cha huyu former TISS,wngine nanadai ni kutokana na mambo nyeti ya kiusalama wa nchi yetu mara wengine kagame anahusika¿

nini hasa kili muua Imrani kombe?
Mbona serikali walishakiri na kushindwa mahakamani hadi kummegea mjane mamillioni?
 
wapo wanao sema majambazi ndio chanzo cha kifo cha huyu former TISS,wngine nanadai ni kutokana na mambo nyeti ya kiusalama wa nchi yetu mara wengine kagame anahusika¿

nini hasa kili muua Imrani kombe?

Alikua ansmpa mrema siri,ikabidi wenye system wamwondoe haraka kabla mambo hayaja haribika
 
speaking of devil anaweza akakutokea muda wowote chezea PK wewe

Hiyo moral authority ya kutukana watanzania wote umeipatia wapi wewe binti???, Ndo maana JK aliamua kuwarudisha kwenu kwa dharau zenu za kijingajinga kama hizi.Na ningekufahamu wewe ningehakikisha ndani ya masaa 6 uwe umeshaondoka ndani ya mipaka ya TZ.Adahabu yako utaipata kwa Mods wanatakiwa wakutendee haki.
 
Walioua ni Askari wa Tz..Tena kwa risasi nyingi..Kagame hapo ahusiki..

Kwa ufupi aliuawa kinyama na Serikali ndiyo inayojua sababu..
Hapa ukiombwa ushahidi uko tayari mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…