Kagame ali operate na ku accomplish hiyo mission bila serikali ya Tanzania kujua?
Inawezekana kabisa Tanzania hawakuwa na picha nzima. Sidhani gani Serkali ya Tanzania ingekuwa sehemu ya mauaji wa marais wawili tena wakitokea Tanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame ali operate na ku accomplish hiyo mission bila serikali ya Tanzania kujua?
Huku tunakwokenda haya yataanza kuwa kawaida.
Tatizo letu tunajua sana kuongea,utekelezaji ni sifuri.Hainiingii akilini kuwa Kagame alihusika na mauaji ya Kombe hata kama habari hiyo itakuwa imetoka CIA.Iliwezekana vipi kwa yeye kupenyeza majasusi wake mpaka wakapanga njama na kutekeleza mauaji hayo bila ya sisi wenyewe kugundua njama hizo.Na kama aliweza kutekeleza yote hayo bila ya watu wetu wa usalama kugundua basi kuna haja tena ya haraka kuunda upya mfumo wetu wa usalama wa Taifa ili tuepukane na mabaya yanayoweza kuja kujitokeza nchini mwetu zaidi ya suala la kifo cha Imran.Kwa mtazamo wangu ninaona kuwa haya yote yanatokana na maadui wa Kagame ambao bado wako katika zama zao za uhutu na utusi na wameshindwa kumkabili huyu jamaa na hivyo kutafuta njia mbadala ya kumchonganisha na jirani zake ili wasaidiwe katika kumkabili na hivyo kumuondoa madarakani ili kuendeleza sera zao za kibaguzi.Ni nani ambaye hajui na haoni kasi ya maendeleo iliyopo nchini Rwanda kwa sasa hivi?Mwacheni ajenge nchi yake sababu kwa hali ilipokuwa imefikia nchini Rwanda kama si kwa yeye kujitokeza ninaamini kabisa hali ingekuwa mbaya zaidi ya yale tuliyoshuhudia.Na kila siku iendayo kwa Mungu huwa ninaomba atujaalie Makagame japo wawili tu,mmoja aende Somalia na wa pili aje Tanzania ili kumaliza porojo za mitaani na kurudisha watu katika utekelezaji wa majukumu ya ujenzi wa nchi na kuondoa uzembe usio na maana unaorudisha nyuma maendeleo kwa kisingizio cha demokrasia(Tanzania) na huyu sio wa ukoo wangu(Somalia)Mchawi wetu tunaye wenyewe,tusijaribu kufuata mambo ya nchi jirani kuficha matatizo yetu.I stand to be challenged.
katika watu useless ni wewe. unatumia akili zako ku decipher what you think its right. huna evidence unabwabwaja tu mdomo sio lazima uandike hapa kama hujui nini unaongea. mimi ni mtanznaia ila i hate watznania sijui elimu yenu inawasaidia nini wajinga sana nyinyi
Aliuawa na CDM by MCHANGE, NAPE, and Shonzawapo wanao sema majambazi ndio chanzo cha kifo cha huyu former TISS,wngine nanadai ni kutokana na mambo nyeti ya kiusalama wa nchi yetu mara wengine kagame anahusika¿
nini hasa kili muua Imrani kombe?
Mbona serikali walishakiri na kushindwa mahakamani hadi kummegea mjane mamillioni?wapo wanao sema majambazi ndio chanzo cha kifo cha huyu former TISS,wngine nanadai ni kutokana na mambo nyeti ya kiusalama wa nchi yetu mara wengine kagame anahusika¿
nini hasa kili muua Imrani kombe?
wapo wanao sema majambazi ndio chanzo cha kifo cha huyu former TISS,wngine nanadai ni kutokana na mambo nyeti ya kiusalama wa nchi yetu mara wengine kagame anahusika¿
nini hasa kili muua Imrani kombe?
Utakuwa umeongea ukweli. Hapa Apson Mwang'onda na Lowasa wanajua uhalisiaAlikua ansmpa mrema siri,ikabidi wenye system wamwondoe haraka kabla mambo hayaja haribika
Je TISS Ina utaratibu kuwa na rekodi halisi za Viongozi mbalimbali? Faili la Kagame lina nini uko TISS? Ni muhimu sana kumuangalia mara mbilimbili wakati tunaelekea kwenye hii EAC. Si vizuri kuchukulia kila kitu kirahisirahisi na hasa kwa maslahi ya nchi yetu, na Usalama wetu pia.
Lakini katika nchi za EAC, Nchi yetu iko mashakani sana, kwani huu muangiliano umesababisha sana kuwa na raia wa nchi nyingine katika vyombo vyetu muhimu vya Usalama, Mfano, Wanyarwanda ambao walio wengi hujitambulisha kama raia.
katika watu useless ni wewe. unatumia akili zako ku decipher what you think its right. huna evidence unabwabwaja tu mdomo sio lazima uandike hapa kama hujui nini unaongea. mimi ni mtanznaia ila i hate watznania sijui elimu yenu inawasaidia nini wajinga sana nyinyi
Hapa ukiombwa ushahidi uko tayari mkuu?Walioua ni Askari wa Tz..Tena kwa risasi nyingi..Kagame hapo ahusiki..
Kwa ufupi aliuawa kinyama na Serikali ndiyo inayojua sababu..