Is President Magufuli an isolationist?

I am an invalid not in the language alone, but in a number of aspects which could act as a stumbling block for me. Could you kindly make the language more simpler for easy communication and delivery of the intended message.
 
Are you sure that he was involved but he chose to isolate?

Bro, this was virtual! How does one self-isolate virtually? His backers will noy throw anything and hope it sticks!! The was an EAC virtual summit, the host must have called all members. The question here is why our number one was absent!! Rather than speculating, his backers should encourage him to say what the reasons were - may be he was not invited but it is for him go say it!!

As a concerned responsible citizen, I have a right to know this.
 
Kuna zoom anaweza akaipiga hata kwenye simu tu yaani hata hiyo skype pia kwa simu mbona fresh, jamaa jinsi alivyo ukute hata minara hivyo amefanya namna imejengwa jirani na makazi yake
 
Hata Burundi hawakiwepo

Stay home, stay safe
Corona kills

Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Wewe Rais wa Burundi anakuhusu nini? Hata kama angekuhusu chochote, sababu yake ilikuwa nini??
 
Du Duh
 
Hivi unajua kiswahili kuwa in lugha rasmi ya mikutano yote ya nchi za SADC na Afrika mashariki na umoja Wa nchi zote za Africa yaani Afrikan Union? Naona uko bado unaota mkoloni mwingereza hata hujua development s poor you chadema
Dah mkuu tulia uandike vizuri maana hata unaempambania hapa atashindwa kuelewa ulichoandika. Halafu mi ninajielewa kwahiyo kuniita mwana chadema ni kunikosea adabu. Tutagombana muda si mrefu
 
Umesema ukweli kabisa. The guy is just useless in discussion or debate
Life is not a debate!!!! Or discussion!!! Forget about those secondary school debates!!! Life is not a secondary school debate
 
Duuuh hicho kiingereza boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Sweden na Tanzania katika suala la corona.
Watu wanaruhusiwa kutoka nje lakini hawaruhusiwi kutoka mji mmoja kwenda mji mji mwingine.
Pia hakuna mkusanyiko wa watu zaidi ya 50 unaoruhusiwa.
Wananchi wa Sweden wana muamko na kila mmoja anachukua hatua za kujilinda kwa nafasi yake.
Tofauti nyingine kubwa kati ya Sweden na Tanzania ni kwamba,mkazi wa Sweden akipata maambukizi nafasi yake ya kupona ni kubwa kwa sababu atapatiwa huduma bora na hakuna atakayekufa kwa kukosa oxgen au ventilator ila kwa Tanzania ukipata maaambukizi unaweza ukafa kwa kukosa huduma nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…