Is President Magufuli an isolationist?

Naanza kushawishika huenda ni kweli aisee...

Lakini kwani hawezi kuongea Kiswahili?
Dunia imeendelea sana, lugha sio kikwazo tena kwani kuna vifaa saidizi.
Ninaanza kuamini kuwa tulikosea kumwamini.
Katika dunia ya sasa huwezi kujitenga na ukapiga hutua kiuchumi na sasa katika janga hili huwezi pigana peke yako.
Kweli jamaa ni mchapa kazi, hana utani katika hilo.
Lakini mapungufu yake yanakaribia kuzidi mazuri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May be they fail to agree on principle issues to be discussed.
Uganda,Kenya,Rwanda believes in controlling pandemic as step to eradicate Covid-19. they think Corona is very dangerous for human survival.

Tanzania think Covid-19 is not a big issue,the big issue is how to earn a daily bread.Tanzania believes people will be used to Covid-19 as times goes on.
 
Mama[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Did the presidents(of Kenya, Uganda, Randwa and South Sudan) invite Dr Magufuli in the meeting? How if the meeting was made without inviting the Tanzania president.
UTTER NONSENSE.
 
Naanza kushawishika huenda ni kweli aisee...

Lakini kwani hawezi kuongea Kiswahili?
kwani miaka mingine minne ya nyuma hawakuwahi kujadiliana naye mpaka korona ndo imewakutanisha? mimi nadhani maslahi ya kisiasa zaidi wala si lugha yeye anaona lockdown itamuharibia zaidi wale wanaona lockdown ndio suruhisho na hapo ndo wanaachana ,iingekuwa ni movie ningesema rais katekwa ila hapa ni kama kajiteka mwenyewe hadi atapojiachia atatupa mwelekeo
 
Mr Ngabu
With all due respect , do you also believe this widespread rumour that Mr President cant have a long conversation while using English language ?

kush na Wisdom
 
Sababu kubwa ni hizi nchi majirani kuingilia mambo ya ndani ya tanzania, hilo ndio limemkasirisha magufuli, hawamuheshimu
 

Hivi virtual meetings kupitia Zoom/Skype unadhani kunahitaji sijui conference system ya aina gani?

Mbona unafanya Virtual meetings zionekane ni kazi ngumi kama vile kuhamisha vifaa vya wakandarasi site aisee.
 
Tatizo siyo English, tatizo la mzee baba ni kuwa kutii maamuzi. Mzee baba anataka wazo lake liwe zuri au baya watu walitii na kutekeleza kwa namna anavotaka yeye sasa anajua hapo hakuna wakunyenyekea wala kumpigia magati, akija na mawazo ya ajabu ajabu atakutana na na maswali na vipingamizi vya hoja za maana. Na yeye hayupo tayari kutekeleza maoni ya wengine, hapo ndo tatizo lilipo anaona bora awapelekeshe kina tashwishwi hapa hapa nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apart from the context in this article/post I enjoy reading the english used
 
Kwani kwa kutohudhuria amevunja sheria yoyote ya hizo Jumuiya?
Hajavunja sheria.
Sasa chujulia mifano hii.
Familia yako imefiwa hujaenda kwenye kilio.
Ndugu zako wamekubaliana kukutana wewe hukuenda.
Majirani wamealikana kukutana kuongelea jambo la ujirani haupo.
Vipi hapo utakuwa umevunja sheria au?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Ngabu
With all due respect , do you also believe this widespread rumour that Mr President cant have a long conversation while using English language ?

kush na Wisdom

Magufuli can’t proficiently converse in English.

But to me that’s not a big deal..

English is just a medium of communication just like any other language.

If Magufuli is not conversant in English, that’s fine. He can use Kiswahili.

Narendra Modi speaks very good English but oftentimes, he opts for Hindi.

Magufuli can use Kiswahili. There’s nothing wrong with it. No shame in it.
 
Sijavunja sheria yoyote bwashee!
 
Mkuu kama yuko against lockdown then angeweza kuweka mawazo yake across labda viongozi wenzake wangejifunza kutoka kwake...achene kumtetea bana..majadiliano ndio ishu which is understandable.
Mawazo yako mazuri aisee...unajua watu wamezidi kumtetea sana wanasahau kwamba sifa kuu ya mwanadamu ni kutofautiana misimamo lakini kupitia mikutano na majukwaa mbalimbali, viongozi / wanadamu wanapata fursa ya kubadilishana uzoefu na huenda kupitia mkutano huu ukashangaa wakapendezewa na msimamo wako na wakachukua vitu adimu kutoka kwako
 
Ukiona majirani zako hata unapoishi ww Graph Theory hawakushirikishi kwenye viakao vyao ukiwa na ww ni mwanajamii katika mahali husika, unatakiwa ujiulize , kuna mahali unakosea au unamatatizo binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wachawi wanakuwangia
Kiingereza hiki ni kibovu sana, CCM mnakwama wapi?
Issue sio kiingereza ni kueleweka unaongea nini it is not about grammatical errors!!! English is my third language not first I had to master my tribal language then Swahili then English don't compare me with English men or Americans where English is the only language they know in their lives
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…