Is President Magufuli an isolationist?

Sidhani kama tatizo ni lugha, labda huko sadc, lakini eac si wanatumia Kiswahili na kiingereza?

Ana tatizo zaidi ya lugha!!!

Hiyo ‘zaidi’ ni nini sasa? Masharti ya mganga?
 

I think he is sick but pretending to be fine.

He could send someone on behalf but because ni mtu anayetaka aonekane anaweza kila kitu kaamua asiende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ‘zaidi’ ni nini sasa? Masharti ya mganga?
I just don't know kiongozi! The man has dealt with covid 19 in his own ways, isolating himself(the country) and the rest of his comrades. Sijui kwa nini aliamua hivyo.
 
 
Miongoni mwa hatua Kwa Wakati ule ilikuwa ni kudhibiti safari za ndege haswa kutoka kwenye nchi zenye maambukizi mengi.

Kujiimarisha katika eneo la Upimaji hususani mipakani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnachokitafuta mtakipata

Jr[emoji769]
Kwani wewe unajua nini..?

Naomba hata kama jibu lako hutaki kulitoa basi tumia code ngumu sana kulitoa ili isiwe rahisi kueleweka!
 
First off, just for your information, there hasn't been any scheduled SADC meeting over the past few weeks. The president of South Africa recently called a meeting with his immediate neighbors. Are you saying that all SADC presidents attended this meeting except the president of Tanzania?

Secondly, was the EAC meeting you are talking about here a scheduled one? Was the president of Tanzania invited? Do you know the agenda items? Are the agenda items relevant to Tanzania? If not, why bother?

Lastly, I would advise you to check your facts before posting. Or better close your ***
 
Kwa nini anawakwepa wenzake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As per Yeriko: Walio wajinga sana ni wengi mno Tz. Karne ya 21 jitu linajua kikabila chao na kiswahili cha kikabila chao sifa ambazo zintosheleza CV ya kuchungia mifugo porini.
 
Ni DIKTETA mbaya sana ambaye viwango vyake ni kama Mussolini na Hitler . Anadhani yeye ndiyo ana mawazo mazuri kuliko binadamu wengine ndiyo maana hataki kupingwa vile anafikiri.

Ingekuwa Cyril Ramaphosa au Museveni au Kagame wako kwenye himaya yake angemtuma Bashite na kikosi cha WASIOJULIKANA waende wakawateke na kuwaua kama alivyowaua kina Ben Saanane, Azory Gwanda na kumshambulia Tundu Lissu.

Hakuna kitu anachukia kama KUKOSOLEWA, ila bahati mbaya ubongo wake ni chini ya wastani yaani kwa grade za NECTA ni kati ya D na C
 
Hiyo mikutano sidhani kama ina chochote cha maana zaidi ya porojo tu.

Kwa mfano huyo babu Kizee museven, kuna lolote anaweza kushauri ambalo ni watertight?

Nafikiri machaguo yote tayari yapo mezani. Kufunga nchi ama kutokufunga nchi. Hakuna mjadala.

Magufuli ameshachagua kutokufunga nchi. Amemaanisha na hatetereki msimamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…