Kwani nani kasema wewe ni kiongozi wa dini? Au una maana kuwa wafuasi wa dini kama yako ndio wanaoruhusiwa kuchakachua wanawake wa dini nyingine na viongozi hawarihusiwi? It is irrelevant kama wewe ni mfuasi au kiongozi wa dini. Sidhani kama kuna dini yoyote ambayo inatumia double standards kwa viongozi na wafuasi wake. Usitake ku complicated mambo hapa. Wakati unaanza urafiki na huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa ana dini tofauti na yako unelss uniambie kuwa mlikuwa mnaongozana wote kwenda kanisani/msikitini. <br />
<br />
Kweli urafiki huzaa ndoa lakini wakati unaanza urafiki ambao utazaa ndoa, kama dini ni issue kwako then inabidi uliangalie hili mapema. Sio usubiri urafiki umeshakolea ndio uanze kufikiria na kujaribu kumshawishi mwenzako abadilishe dini. Unauliza hivi kuchakachua unatafuta dini yako? If not, kama kweli wewe unaiabudu dini yako, kwa nini tuu inapofika kuoa unaangalia dini yako? Kwa nini usiangalie hili wakati unachakachua? Kwanza dini agani inaruhusu kuchakachua kabla ya kuoa?<br />
<br />
Mkuu your hands are not clean at all. Usitumie kigezo cha dini hapa kujustify maamuzi ya kumwacha huyo mwanamke. To put it simply, you're hypocrite. Stop professing belief and opinion that you do not seem to hold in order to conceal your real motives for dumping the girl.