Is She The Worst President Ever(Tz)?

Is She The Worst President Ever(Tz)?

Kama ni kweli alitaka kujiuzulu, na hakuwa na uhuru wa kumshauri mtangulizi wake; ni wazi kuwa hana maono kwa taifa.
Ukifuatilia historia ya uteuzi wake kuwa makamu, ni kama alivyosema mwenyewe baada ya kuapishwa kuwa rais, kwamba ni 'kudra' tu!
She don't have any vision. Na hili ni tatizo la mfumo wa namna ya kuteua viongozi ndani ya chama.
Hebu tupe visheni yako laiti ungalikua rais!!!
 
Kama ni kweli alitaka kujiuzulu, na hakuwa na uhuru wa kumshauri mtangulizi wake; ni wazi kuwa hana maono kwa taifa.
Ukifuatilia historia ya uteuzi wake kuwa makamu, ni kama alivyosema mwenyewe baada ya kuapishwa kuwa rais, kwamba ni 'kudra' tu!
She don't have any vision. Na hili ni tatizo la mfumo wa namna ya kuteua viongozi ndani ya chama.
Shida nyie wenye visheni hamuknekani, hamutakiwi na wala hamueleweki......basi endeleeni kukaa nyuma ya keyboard na kuponda wenzenu waliofanikiwa!
 
1. Super/hyper inflation

2. Corruption

3. Over Taxation of the low/middle class

4. Deterioration of Security

5. Unnecessary Spendings

6. Unaccountability (leaders/especially Presidential nominees)

7. Death of Mega Projects

8. Bizarre allegations against mbowe

All this in less than two (2) years office!!!

Is there any Former President who can compete with her ?
Wa kwanza kulaumiwa ni Hayati Magufuli kuchagua mtu kama huyu. Haya ndio madhara ya kuchagua tu mtu yoyote kwa hisani.

In fact watu wa Pwani hawajawahi kua viongozi bora, angalia nchi zote zilizo kwenye Pwani hawajawahi kumpa mtu wa Pwani uongozi hasa hii Pwani inayopakana na Waarabu ni disaster.

Watu wa Pwani ni laissez faire, waarabu na utumwa uliwaharibu.
 
View attachment 2210534

Yeye mwenyewe hajui imekuwaje amekuwa Rais, hana anachotaka ku-achieve.

Tumerudi hatua 80 nyuma kama nchi.
Na hiyo picha, ilitengenezwa hasa ifanikishe nini?

Kuna nchi gani 'tour guide' wao hufanya kazi kwa mtindo huu?

Hao watalii wakija hapa na kudai waongozwe kama walivyoona kwenye picha, kuna watu wameandaliwa kufanya kazi kwa mtindo huo?
 
Wa kwanza kulaumiwa ni Hayati Magufuli kuchagua mtu kama huyu. Haya ndio madhara ya kuchagua tu mtu yoyote kwa hisani.

In fact watu wa Pwani hawajawahi kua viongozi bora, angalia nchi zote zilizo kwenye Pwani hawajawahi kumpa mtu wa Pwani uongozi hasa hii Pwani inayopakana na Waarabu ni disaster.

Watu wa Pwani ni laissez faire, waarabu na utumwa uliwaharibu.
Yeye (Magufuli) alitaka mtu laini kama huyo. Haikutokea kabisa akafikiri kwamba kuna uwezekano wa yeye kuondoka na kumwacha huyu akiendesha serikali.
Ni muhimu sana mambo haya yatizamwe kwa umakini mkubwa wakati Katiba Mpya itakapoandikwa.
 
Wa kwanza kulaumiwa ni Hayati Magufuli kuchagua mtu kama huyu. Haya ndio madhara ya kuchagua tu mtu yoyote kwa hisani.

In fact watu wa Pwani hawajawahi kua viongozi bora, angalia nchi zote zilizo kwenye Pwani hawajawahi kumpa mtu wa Pwani uongozi hasa hii Pwani inayopakana na Waarabu ni disaster.

Watu wa Pwani ni laissez faire, waarabu na utumwa uliwaharibu.
Itakua unatembea kichwa chini miguu juu,nyerere wa bara watu walipanga foleni kununua unga na mahitaji mengine,watu walitembea uchi,viraka juu ya viraka,wakafulia majani ya mpapai na gwanji,sukari guru kwenye chai,mwinyi wa pwani mahitaji muhimu na yasiyo muhimu tele dukani,pesa yako tu,Uhuru wa habari na maoni,mkapa kulipa madeni na kuuza nchi kwa wazungu(rejea makuwadi wa soko huria',mibaka uchumi vya Prof chachage) jakaya miundombinu kuliko yeyote,mishahara nyongeza 80%+,ajiri Sana kila mwaka,mtanganyika akaifanya biashara na zikafanyika,wahitimu elimu ya juu wa kumwaga,kilimo kwanza ikalipa,magu wa bara akaja kuharibu na kuurudisha uchumi miaka kumi nyuma
 
1. Amejenga madarasa, kulikua na wanafunzi wanaofaulu wengi pamoja na walimu wapya wanaohitimu wengi,kilichokuwa kinakosekana ni madarasa,

2. Amefanikisha filamu ya 'royal tour' ambayo ni creativity yake ameonyesha jinsi gani nchi yetu inaweza kuingiza mapato bila kutegemea kutembeza bakuli kila wakati

3.Amejali maslahi ya wafanyakazi kitendo ambacho bwana meko hakuwahi kukifanya kwa miaka zaidi ya mitano

4. Aongezewe miaka mingine 20, she has done a lot within a year,we will achieve a lot if she continues with this pace ....best president Tanzania could ever have...
WTF
 
She is a lifestylist not a presidential material, over one year she managed to visit more than 10 states, lets add another year to see how competate she is as a head of state..
And 4 regions in the country,
 
Itakua unatembea kichwa chini miguu juu,nyerere wa bara watu walipanga foleni kununua unga na mahitaji mengine,watu walitembea uchi,viraka juu ya viraka,wakafulia majani ya mpapai na gwanji,sukari guru kwenye chai,mwinyi wa pwani mahitaji muhimu na yasiyo muhimu tele dukani,pesa yako tu,Uhuru wa habari na maoni,mkapa kulipa madeni na kuuza nchi kwa wazungu(rejea makuwadi wa soko huria',mibaka uchumi vya Prof chachage) jakaya miundombinu kuliko yeyote,mishahara nyongeza 80%+,ajiri Sana kila mwaka,mtanganyika akaifanya biashara na zikafanyika,wahitimu elimu ya juu wa kumwaga,kilimo kwanza ikalipa,magu wa bara akaja kuharibu na kuurudisha uchumi miaka kumi nyuma
Nyerere watu walifulia Magwanji lakini akajenga viwanda nchi nzima, kila kona viwanda.

Mwinyinmahitaji muhimu na mikataba ya hovyo kina IPTL nk.

Kikwete na makampuni yake hewa nika Symbion, Dowans ambayo juzi wamejilipa karibu robo tatu ya Trilioni, kumbuka alisema yeye hashughuliki na mafisadi maana yana nguvu sana. Huyo ni rais wa nchi mwenye jeshi, polisi, magereza lakini anaogopa wala rushwa.

Magu si ndio alikua anendesha uchumi kwa 6%-7% kabla ya Covid, miundombinu mikubwa mikubwa yote, leo unasema karudisha uchumi kwenye sifuri?
 
Wendawazimu hao,wanadhani mafuta yanachimbwa na kusafishwa bandarini
Wewe ni chawa wa Samia tu,juzi tuliambiwa na samia kuwa tanzania tunayo akiba ya kutosha ya mafuta ya miezi 4 tena akasema na meli nyingine zinakuja,haijapita hata week eti mafuta yamepanda,sasa hiyo akiba inatusaidia nini kama mafuta yanapanda kila mwezi?Samia ni empty kichwani,na kama corona ingelitukuta tuna samia watanganyika tulikufa sana.
 
2. This is bull shit, kwani kutanganza Tanzania tumeanza leo? Royal tour ina nini cha ziada? Ni mapato gani yameingizwa na Royal Tour? Eti kuingiza pesa bila kutembeza bakuli, sijui watu mnatumia nini kufikiri.

3. Mishahara ipi iliyoongezwa? Wewe umeona mshahara wa mfanyakazi umeongezwa? Umeongezeka kwa asilimia ngapi?

4. Mkiwa machawa muwe mnatumia akili kufikiri na sio makalio.
Whatever man,

1. Tanzania budget yake inategemea zaidi Foreign Aid, mtu akifanya jambo hata kama linaingizia Tanzania million moja sio wa kumu underestimate. eti Royal Tour ina nini cha ziada niambie hizo strategies mlizotumia in the past kutangaza Tanzania ziliwaingizia 11Trillions kama hii Royal Tour itakachofanya au unaropoka tuu?

2. Mishahara, na madaraja soon vinaongezwa mama ameshapunguzia mikopo wanaodaiwa mikopo ya elimu ya Juu na ma benki, na alivyo mtu wa kujali watu ameahidi kuyafanyanyia kazi kupanda madaraja na mishahara kwa wafanyakazi, tunaongelea mwaka mmoja wa utumishi wake hivyoooo...

3. Mimi ni Chawa, na natumia VYOTE kufikiri , makalio pamoja na akili, bye.
 
Nyerere watu walifulia Magwanji lakini akajenga viwanda nchi nzima, kila kona viwanda.

Mwinyinmahitaji muhimu na mikataba ya hovyo kina IPTL nk.

Kikwete na makampuni yake hewa nika Symbion, Dowans ambayo juzi wamejilipa karibu robo tatu ya Trilioni, kumbuka alisema yeye hashughuliki na mafisadi maana yana nguvu sana. Huyo ni rais wa nchi mwenye jeshi, polisi, magereza lakini anaogopa wala rushwa.

Magu si ndio alikua anendesha uchumi kwa 6%-7% kabla ya Covid, miundombinu mikubwa mikubwa yote, leo unasema karudisha uchumi kwenye sifuri?
Pangekua na viwanda watu wangefulia magwanji na kula sukari guru!?..hivyo viwanda vilikua viwanda vya nini!?..itakua hujui chochote kuhusu dowans na symbion,dowans Alina samwel sorta walishupaa kampuni Haina mwenyewe Mara hewa,akaja mwenye kampuni mwarabu,yakaisha,ikaonekana ipewe kampuni ya mzungu,wakapewa symbion...na mzee wao Obama akaja,unasemaje kampuni za jk!?..unaelewa nini kuhusu iptl!?..magu kakuta uchumi upo 7%+..akauporomosha Hadi 4%...na Sasa umekua kwa .1%..miundo mbinu gani mikubwa aliyojenga magu!?...jakaya kajenga barabara zaidi ya walizojenga nyerere,mwinyi na mkapa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom