Itakua unatembea kichwa chini miguu juu,nyerere wa bara watu walipanga foleni kununua unga na mahitaji mengine,watu walitembea uchi,viraka juu ya viraka,wakafulia majani ya mpapai na gwanji,sukari guru kwenye chai,mwinyi wa pwani mahitaji muhimu na yasiyo muhimu tele dukani,pesa yako tu,Uhuru wa habari na maoni,mkapa kulipa madeni na kuuza nchi kwa wazungu(rejea makuwadi wa soko huria',mibaka uchumi vya Prof chachage) jakaya miundombinu kuliko yeyote,mishahara nyongeza 80%+,ajiri Sana kila mwaka,mtanganyika akaifanya biashara na zikafanyika,wahitimu elimu ya juu wa kumwaga,kilimo kwanza ikalipa,magu wa bara akaja kuharibu na kuurudisha uchumi miaka kumi nyuma