Is She The Worst President Ever(Tz)?

Hebu tupe visheni yako laiti ungalikua rais!!!
 
Shida nyie wenye visheni hamuknekani, hamutakiwi na wala hamueleweki......basi endeleeni kukaa nyuma ya keyboard na kuponda wenzenu waliofanikiwa!
 
Wa kwanza kulaumiwa ni Hayati Magufuli kuchagua mtu kama huyu. Haya ndio madhara ya kuchagua tu mtu yoyote kwa hisani.

In fact watu wa Pwani hawajawahi kua viongozi bora, angalia nchi zote zilizo kwenye Pwani hawajawahi kumpa mtu wa Pwani uongozi hasa hii Pwani inayopakana na Waarabu ni disaster.

Watu wa Pwani ni laissez faire, waarabu na utumwa uliwaharibu.
 
View attachment 2210534

Yeye mwenyewe hajui imekuwaje amekuwa Rais, hana anachotaka ku-achieve.

Tumerudi hatua 80 nyuma kama nchi.
Na hiyo picha, ilitengenezwa hasa ifanikishe nini?

Kuna nchi gani 'tour guide' wao hufanya kazi kwa mtindo huu?

Hao watalii wakija hapa na kudai waongozwe kama walivyoona kwenye picha, kuna watu wameandaliwa kufanya kazi kwa mtindo huo?
 
Yeye (Magufuli) alitaka mtu laini kama huyo. Haikutokea kabisa akafikiri kwamba kuna uwezekano wa yeye kuondoka na kumwacha huyu akiendesha serikali.
Ni muhimu sana mambo haya yatizamwe kwa umakini mkubwa wakati Katiba Mpya itakapoandikwa.
 
Itakua unatembea kichwa chini miguu juu,nyerere wa bara watu walipanga foleni kununua unga na mahitaji mengine,watu walitembea uchi,viraka juu ya viraka,wakafulia majani ya mpapai na gwanji,sukari guru kwenye chai,mwinyi wa pwani mahitaji muhimu na yasiyo muhimu tele dukani,pesa yako tu,Uhuru wa habari na maoni,mkapa kulipa madeni na kuuza nchi kwa wazungu(rejea makuwadi wa soko huria',mibaka uchumi vya Prof chachage) jakaya miundombinu kuliko yeyote,mishahara nyongeza 80%+,ajiri Sana kila mwaka,mtanganyika akaifanya biashara na zikafanyika,wahitimu elimu ya juu wa kumwaga,kilimo kwanza ikalipa,magu wa bara akaja kuharibu na kuurudisha uchumi miaka kumi nyuma
 
WTF
 
She is a lifestylist not a presidential material, over one year she managed to visit more than 10 states, lets add another year to see how competate she is as a head of state..
And 4 regions in the country,
 
Nyerere watu walifulia Magwanji lakini akajenga viwanda nchi nzima, kila kona viwanda.

Mwinyinmahitaji muhimu na mikataba ya hovyo kina IPTL nk.

Kikwete na makampuni yake hewa nika Symbion, Dowans ambayo juzi wamejilipa karibu robo tatu ya Trilioni, kumbuka alisema yeye hashughuliki na mafisadi maana yana nguvu sana. Huyo ni rais wa nchi mwenye jeshi, polisi, magereza lakini anaogopa wala rushwa.

Magu si ndio alikua anendesha uchumi kwa 6%-7% kabla ya Covid, miundombinu mikubwa mikubwa yote, leo unasema karudisha uchumi kwenye sifuri?
 
Wendawazimu hao,wanadhani mafuta yanachimbwa na kusafishwa bandarini
Wewe ni chawa wa Samia tu,juzi tuliambiwa na samia kuwa tanzania tunayo akiba ya kutosha ya mafuta ya miezi 4 tena akasema na meli nyingine zinakuja,haijapita hata week eti mafuta yamepanda,sasa hiyo akiba inatusaidia nini kama mafuta yanapanda kila mwezi?Samia ni empty kichwani,na kama corona ingelitukuta tuna samia watanganyika tulikufa sana.
 
Whatever man,

1. Tanzania budget yake inategemea zaidi Foreign Aid, mtu akifanya jambo hata kama linaingizia Tanzania million moja sio wa kumu underestimate. eti Royal Tour ina nini cha ziada niambie hizo strategies mlizotumia in the past kutangaza Tanzania ziliwaingizia 11Trillions kama hii Royal Tour itakachofanya au unaropoka tuu?

2. Mishahara, na madaraja soon vinaongezwa mama ameshapunguzia mikopo wanaodaiwa mikopo ya elimu ya Juu na ma benki, na alivyo mtu wa kujali watu ameahidi kuyafanyanyia kazi kupanda madaraja na mishahara kwa wafanyakazi, tunaongelea mwaka mmoja wa utumishi wake hivyoooo...

3. Mimi ni Chawa, na natumia VYOTE kufikiri , makalio pamoja na akili, bye.
 
Pangekua na viwanda watu wangefulia magwanji na kula sukari guru!?..hivyo viwanda vilikua viwanda vya nini!?..itakua hujui chochote kuhusu dowans na symbion,dowans Alina samwel sorta walishupaa kampuni Haina mwenyewe Mara hewa,akaja mwenye kampuni mwarabu,yakaisha,ikaonekana ipewe kampuni ya mzungu,wakapewa symbion...na mzee wao Obama akaja,unasemaje kampuni za jk!?..unaelewa nini kuhusu iptl!?..magu kakuta uchumi upo 7%+..akauporomosha Hadi 4%...na Sasa umekua kwa .1%..miundo mbinu gani mikubwa aliyojenga magu!?...jakaya kajenga barabara zaidi ya walizojenga nyerere,mwinyi na mkapa kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…