Is She The Worst President Ever(Tz)?

Kwa hiyo magu alikua na dawa ya korona!!?..misukule bna!!
 
Wewe wa kunifundisha mimi kuhusu IPTL, Symbion ana Dowans?😂. Aisee.

Anyway hata kama unataka kunifundisha sasa hapo umeandika kitu gani mkuu?
 
Tumlaumu mshauri wake tu...
Kumlaumu mama samia ni kumuonea tu tumwangalie yule aliyemuamini zaidi
Hata kama KIKWETE NDIO ANAMSHIKA PUA; the buck stops with her!! She is the one who is accountable!
 
Ki ukweli mimi ni upinzani ila namkubari mama Samia kwa sababu ana hangaika na li nchi liloharibiwa na chizi na isitoshe anatawala majinga yanayo amini kuwa raisi ajae atawaletea ubwabwa na nyama kila nyumba ili watu wawe Bize wakiponda raha.
 

Ooh… unampara? Atakuparura! I may be wrong, lakini nadhani Mods watautungua uzi wako kwa speed ya mwanga![emoji28]
 
Unachoandika hata hukielewi wewe mwenyewe.

Hizo Trilioni 11 zimekuja lini na kutoka wapi? Zimeletwa na matangazo ya Royal Tour? Aisee.

Mishahara na madaraja vitaongezwa soon, soon hiyo ni lini? Lakini kwenye post yako ya awali ulisema vimeongezwa na sasa unasema vitaongezwa soon, hivi unaelewa hata unachokiandika?

Hao waliopunguziwa mikopo ni mikopo ipi? Imepunguzwa kutoka shilingi ngapi hadi ngapi ama asilimia ngapi hadi ngapi?

Sasa ahadi ndio unataka umpe mtu credit kwa kutoa ahadi kweli? Asipotekeleza je?

Jitahidi kua unaandika vitu vya maana basi. Sitaki kuamini kama akili yako imefikia hapo tu. You can still write logical things in there.
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini viongozi au maraisi wengi huwa wanatawala kibabe nimegundua kuwa ma mtu meusi ukiyapa matako yapige ngoma yanatia na dole
 
Wewe wa kunifundisha mimi kuhusu IPTL, Symbion ana Dowans?😂. Aisee.

Anyway hata kama unataka kunifundisha sasa hapo umeandika kitu gani mkuu?
Kwamba unajua Sana au!!??...wajuvi huwa mnashida Sana...halafu hujui chochote
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini viongozi au maraisi wengi huwa wanatawala kibabe nimegundua kuwa ma mtu meusi ukiyapa matako yapige ngoma yanatia na dole
Ndio maana kwa PK huwezi kumwandika Rais hivi
 
Tunaipongeza serekali kwa kutuletea Bei mpya na affordable ,kazi iendelee
 
Tunategemea hizo foreign aid kwa kuwa tunapata viongozi wa hovyo,hivi na resources zote tulizonazo unaona ni sawa tutegemee aid??.
Tataizo kila Rais anajidai anataka aache Alama mwisho wa siku wanaaribu.angalia Mkapa katika kipindi chake aliweza kupunguza madeni yaliyokopwa na Mwinyi ,akaingia Kikwete,Magufuli&Samia kila mmoja ni kukopa tu.
 

Kumbe unashinda JF unashindwa kutafuta simple information kama hio filamu italeta kiasi gani....

Again uko Tanzania hujui na wala hujiongezi kutaka kujua kuwa kuna waliopunguziwa madeni yao ya mikopo ya elimu ya juu

Unakosa umakini wa ku argue na great thinkers!

By the way, original post yangu nimesema mama Samia anajali maslahi ya wafanyakazi (kwa kuanza kuondolea madeni wanayodaiwa na kuwaahidi kufnyia kazi madaraja na mishahara siku ya mei mosi) SIKUSEMA KAMA WAFANYAKAZI WAMEONGEZEWA MISHAHARA.... kabla hujaingia JF usiwe umekunywa matap tap unakuja na MIHEMUKO ambayo inaathiri REASONING yako.................. this is my last post to you...naona napoteza muda tuuu
 
We uliona mwinyi tu ndiyo aliyekopa!!?..
 
Ndio maana kwa PK huwezi kumwandika Rais hivi
wananchi wa KIAFRICA hawajui wanachokitaka kutoka kwa uongozi wa nchi husika ndo maana viongozi wengi husigina katiba na kuendelea na formula zao za ki uongozi kadri watakavyo.Hata hapa TZ tunaomba katiba kimihemko tu na wala haitotusaidia kwa sababu viongozi wengi wa kiafrika hawatutawali kwa kufuata katiba reffer JPM ametutawala kwa kwenda against na Katiba na tukatubu kwake.
 
Resources utazi-exploit vipi na pesa huna!!!?...tatizo hamjawahi manage project yoyote,tuna mafuta na gesi,zinahitajika dola 30 bil...ziko wapi hizo fedha tuchimbe wenyewe!?
 
Okay, sasa nimeelewa shida yako iko wapi, ni kushindwa kuchakata na kuelewa mambo.

Unashindwa kuelewa kuna tofauti ya Trilioni 11 na matokeo ya royal tour. Hizo Trilioni 11 ni mikataba tu na haihusiani na Royal Tour na mikataba sio lazima itekelezwe. Royal tour ni kutangaza utalii, hapo tayari utalii umeshaleta Trilioni 11?

Kikwete alisaini mabilioni ya dollar ya mikataba ila haikutekelezwa, the same na Mwinyi, Nyerere, Mkapa, Magufuli.

Royal tour haijasema italeta Trilioni 11, rudi usome vizuri hiyo taarifa uelewe kwanza.

Jambo lingine, nikushauri tu kwa faida yako, kiongozi hasifiwi kwa kuweka ahadi, hizo ahadi za mishahara, madaraja sijui nini hizo sio sifa unakuja hapa kumpa kiongozi, kiongozi anasifiwa kwa utekelezaji. Wewe unasifia ahadi, aisee.

Umesema Samia amesaidia watu kushusha mikopo ya mabenki na ya ya elimu ya juu, nimekuuliza ya elimu ya juu amepunguza kiasi gani ama asilimia ngapi, husemi. Haya ya mabenki amewasaidia wakaupungizwa asilimia ngapi ama basi kiasi gani, husemi. Unatoa tu maneno ya jumla jumla. Sisi wenyewe we don't but it. Uki dissect maelezo yako unaona kabisa unaandika uharo.

Mimi bado naamini kwamba akili yako haijafikia kikomo, bado unaweza kujitahidi kuandika vitu vya maana humu.
 
1. Super/hyper inflation
Can you mention any nation on Earth without hyperinflation as of now?
If no, then why do you think Tanzania is exceptional?
2. Corruption
Any facts or evidence?

Anyway, When was Tanzania without corruption?
3. Over Taxation of the low/middle class
What do you mean by over taxation?
Do you know only 3M people out of 60M Tanzanians pay taxes as per TRA database?
4. Deterioration of Security
Panyaroad🤣🤣🤣
That, Controlling panya roads needs the head of state's attention🤣🤣🤣

Wanaume wa Dar punguzeni kufanya manicure na pedicure na kuinamishwa.
5. Unnecessary Spendings
How?
Any valid examples?
6. Unaccountability (leaders/especially Presidential nominees)
Moja ya sifa kubwa sana ya Wabongo Ni viumbeya umbeya, vimajungu fulani.
Man up, taka fulani na fulani kwasababu hiii na hii. Easy!
7. Death of Mega Projects
Which projects?
8. Bizarre allegations against mbowe
Stupid
All this in less than two (2) years office!!!

Is there any Former President who can compete with her ?
Whatever Madame President might be. But, She is a way FAR BETTER THAN Mr. Kibwengo in every possible way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…