Kumbe unashinda JF unashindwa kutafuta simple information kama hio filamu italeta kiasi gani....
Again uko Tanzania hujui na wala hujiongezi kutaka kujua kuwa kuna waliopunguziwa madeni yao ya mikopo ya elimu ya juu
Unakosa umakini wa ku argue na great thinkers!
By the way, original post yangu nimesema mama Samia anajali maslahi ya wafanyakazi (kwa kuanza kuondolea madeni wanayodaiwa na kuwaahidi kufnyia kazi madaraja na mishahara siku ya mei mosi) SIKUSEMA KAMA WAFANYAKAZI WAMEONGEZEWA MISHAHARA.... kabla hujaingia JF usiwe umekunywa matap tap unakuja na MIHEMUKO ambayo inaathiri REASONING yako.................. this is my last post to you...naona napoteza muda tuuu
Okay, sasa nimeelewa shida yako iko wapi, ni kushindwa kuchakata na kuelewa mambo.
Unashindwa kuelewa kuna tofauti ya Trilioni 11 na matokeo ya royal tour. Hizo Trilioni 11 ni mikataba tu na haihusiani na Royal Tour na mikataba sio lazima itekelezwe. Royal tour ni kutangaza utalii, hapo tayari utalii umeshaleta Trilioni 11?
Kikwete alisaini mabilioni ya dollar ya mikataba ila haikutekelezwa, the same na Mwinyi, Nyerere, Mkapa, Magufuli.
Royal tour haijasema italeta Trilioni 11, rudi usome vizuri hiyo taarifa uelewe kwanza.
Jambo lingine, nikushauri tu kwa faida yako, kiongozi hasifiwi kwa kuweka ahadi, hizo ahadi za mishahara, madaraja sijui nini hizo sio sifa unakuja hapa kumpa kiongozi, kiongozi anasifiwa kwa utekelezaji. Wewe unasifia ahadi, aisee.
Umesema Samia amesaidia watu kushusha mikopo ya mabenki na ya ya elimu ya juu, nimekuuliza ya elimu ya juu amepunguza kiasi gani ama asilimia ngapi, husemi. Haya ya mabenki amewasaidia wakaupungizwa asilimia ngapi ama basi kiasi gani, husemi. Unatoa tu maneno ya jumla jumla. Sisi wenyewe we don't but it. Uki dissect maelezo yako unaona kabisa unaandika uharo.
Mimi bado naamini kwamba akili yako haijafikia kikomo, bado unaweza kujitahidi kuandika vitu vya maana humu.