Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
jamani chunguza chunguza ni cancer kwenye mapenzi...ni bora ku assume ndo wa kwanza kwako japo tahadhari ni muhimu kwa kuanzia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwangu mimi ni kujuwa kuwa niko nae na ni wangu,
hizo habari za past mimi hazinihusu, na unaposema anaweza akakutana na EX wake na wakapeana mpaka contact huyo, Mvulana au msichana atakuwa hajui ni nini anakitaka.
kwa mawazo yangu ni kuanzia pale tulipokutana, ya huko nyuma hayanihusu na sintopenda kuyajuwa.
mambo ya huko nyuma sijui alikuwa na Mwajuma au Juma hainihusu.
[uoga huo hamna lolote
Ndugu wana jamvi kama mada tajwa husika hapo juu inavyosema...'kuna umuhimu wowote kufahamu mahusiano yaliyopita ya mpenzi wako wa sasa'?
Naomba wachangiaji tu base kwenye faida na hasara za kufamu au sintofahamu za historia ya kimapenzi ya mpenzi wako wa sasa...ukijua mpenzi wako alikua na wapenzi kumi au mmoja au hakuwahi kabisa itabadilisha nini?inaweza kuimarisha mapenzi yenu au itahatarisha?
Guys let's be realistic on this tusiongee vitu fictional tu na drama za kifilipino...haya mabo yana exist na ni tatizo katika society zetu just imagine una mpenzi wako mnatembea mnakutana na mtu anamchangamkia..wanaonyesha kufahamiana,mpenzi wako ana flirt kabisa hadi wanabadilishana namba nawewe unachukulia poa cuz unajua maybe ni rafiki yake tu kumbe mtu alikua ni mpenzi wake...we all know the problem with EX...ni rahisi sana kukumbushiana...ila kama alikwambia kabla mtu flani ali exist ungechukua tahadhari maybe ya kufupisha conversation mkaondoka yakaisha..!
Lazima tukubali kuna baadhi yetu tupo weak when it comes to deal with past relationships....kuna upande wa pili ambao hawapendi kabisa kuzungumzia mahusiano yao ya nyuma kisa wana claim hawataki kuumiza wapenzi wao...can any one try to justfy this?!
MY TAKE;
NO MATTER how many lovers u had its better ukamwambia mpenzi wako at the begginning mwa mahusiano hayo mapya ...guys trust me on this..the way utakavyo mtreat mpenzi ambaye hajawahi kuwa na mahusiano kabla,aliyewahi kuwa na uhusiano mmoja,mwenye mahusiano mawili,matatu au kumi ni tofauti kabisa....kila mmoja ana namna yake utakavyo mtreat na kumfurahisha namna yake ni both mentally na physically...its better ukamuumiza mpenzi wako kwa kumwambia past yako mwanzoni kuliko akaja kujua katikati ya mahusiano...itamuumiza sana na kuna hati hati asije kukusamehe milele...!
KARIBUNI WANAJAMVI NI HAYO TU KWA LEO!
My take is let the past kills it self haihusu kabisaa kwenye mahusiano uliyomo na kama mmependana ni hivyo hivyo mlivyokutana.Mathalani kama mmoja wenu keshapita na watu hamsini how would the other feel pale atapokuwa akihisi kuwa njia anayopita ilishapitiwa na watu hamsini hapo kabla!!Siungi mkono hili kwani si kila ukweli ni wa muhimu
Tunajifariiiiji,mla mla jana,mla leo anakula kiporo!tuliza moyo,kipende kiporo chako na ukizoee kitakuwa kizuuuri kwako kuliko hata chakula kipya na wala hakitakuumiza tumbo!Unataka kujua kaanzia wapi, kapitia kwa nani na nani na kwa wangapi au hata kujua huko alikopita hakudumu kwasababu gani.
Sidhani kama penzi linaweza kujenga katika uimara uliyobora kwa kutumia njia za udadisi na uchokonozi wa kutaka kujua kila kitu.
Ukweli usipoutafuta, utakutafuta. Ni bora hivyo kuliko kuja kujikwaza mwenyeo eti sababu unatafuta ukweli. Muhimu ni kuchukulia tu kuwa "mla mla leo, mla jana kala nini"
Ukweli humweka mtu huru,mpe mkweli kuhusu past life yako,don't engulf that hurting truth in your heart,if you will share it with your lover,you will split apart that load of pains and it will be eased for the two of you to carry on with.
Nemo u wanna tell me that honest is determined by race and societies we are came from? ur not an honest person thats why u dont wana talk about ur past to ur partner and probably u got silly past my dear...
Nakubaliana na wewe,ukweli humweka mtu huru pia mwenzio anaweza kuwa faraja yako.well said.