Is there any importance to know your lover's past relationships?

Is there any importance to know your lover's past relationships?

jamani chunguza chunguza ni cancer kwenye mapenzi...ni bora ku assume ndo wa kwanza kwako japo tahadhari ni muhimu kwa kuanzia!
 
Nemo u wanna tell me that honest is determined by race and societies we are came from? ur not an honest person thats why u dont wana talk about ur past to ur partner and probably u got silly past my dear...
 
we are told jamani that we can not have a bright future if we dont know our past...simple history concept!from our pasts ndio tunajua mapungufu yetu then tunajifunza na ku move on...
 
sasa mbona unajichanganya kaka ukeli wa kuutafuta mtu akakwambia kwa hiari yake na ule wa kuletewa upi unao uma zaidi?tukubaliane wote tungependa kujua ukweli sema tu baadhi yetu ni waoga a.k.a cowards tunaogopa kusema ukweli kwa fear ya kuachwa na kuacha lakini mwisho wa siku ukweli utatuweka huru..
 
My take is let the past kills it self haihusu kabisaa kwenye mahusiano uliyomo na kama mmependana ni hivyo hivyo mlivyokutana.Mathalani kama mmoja wenu keshapita na watu hamsini how would the other feel pale atapokuwa akihisi kuwa njia anayopita ilishapitiwa na watu hamsini hapo kabla!!Siungi mkono hili kwani si kila ukweli ni wa muhimu
 
kwangu mimi ni kujuwa kuwa niko nae na ni wangu,
hizo habari za past mimi hazinihusu, na unaposema anaweza akakutana na EX wake na wakapeana mpaka contact huyo, Mvulana au msichana atakuwa hajui ni nini anakitaka.

kwa mawazo yangu ni kuanzia pale tulipokutana, ya huko nyuma hayanihusu na sintopenda kuyajuwa.

mambo ya huko nyuma sijui alikuwa na Mwajuma au Juma hainihusu.
[uoga huo hamna lolote
 
Ndugu wana jamvi kama mada tajwa husika hapo juu inavyosema...'kuna umuhimu wowote kufahamu mahusiano yaliyopita ya mpenzi wako wa sasa'?
Naomba wachangiaji tu base kwenye faida na hasara za kufamu au sintofahamu za historia ya kimapenzi ya mpenzi wako wa sasa...ukijua mpenzi wako alikua na wapenzi kumi au mmoja au hakuwahi kabisa itabadilisha nini?inaweza kuimarisha mapenzi yenu au itahatarisha?
Guys let's be realistic on this tusiongee vitu fictional tu na drama za kifilipino...haya mabo yana exist na ni tatizo katika society zetu just imagine una mpenzi wako mnatembea mnakutana na mtu anamchangamkia..wanaonyesha kufahamiana,mpenzi wako ana flirt kabisa hadi wanabadilishana namba nawewe unachukulia poa cuz unajua maybe ni rafiki yake tu kumbe mtu alikua ni mpenzi wake...we all know the problem with EX...ni rahisi sana kukumbushiana...ila kama alikwambia kabla mtu flani ali exist ungechukua tahadhari maybe ya kufupisha conversation mkaondoka yakaisha..!
Lazima tukubali kuna baadhi yetu tupo weak when it comes to deal with past relationships....kuna upande wa pili ambao hawapendi kabisa kuzungumzia mahusiano yao ya nyuma kisa wana claim hawataki kuumiza wapenzi wao...can any one try to justfy this?!

MY TAKE;
NO MATTER how many lovers u had its better ukamwambia mpenzi wako at the begginning mwa mahusiano hayo mapya ...guys trust me on this..the way utakavyo mtreat mpenzi ambaye hajawahi kuwa na mahusiano kabla,aliyewahi kuwa na uhusiano mmoja,mwenye mahusiano mawili,matatu au kumi ni tofauti kabisa....kila mmoja ana namna yake utakavyo mtreat na kumfurahisha namna yake ni both mentally na physically...its better ukamuumiza mpenzi wako kwa kumwambia past yako mwanzoni kuliko akaja kujua katikati ya mahusiano...itamuumiza sana na kuna hati hati asije kukusamehe milele...!
KARIBUNI WANAJAMVI NI HAYO TU KWA LEO!

i agree with u.its better u tel the one u love n trust the truth abt ur past b4 he/she come 2 find on her/him self.
 
My take is let the past kills it self haihusu kabisaa kwenye mahusiano uliyomo na kama mmependana ni hivyo hivyo mlivyokutana.Mathalani kama mmoja wenu keshapita na watu hamsini how would the other feel pale atapokuwa akihisi kuwa njia anayopita ilishapitiwa na watu hamsini hapo kabla!!Siungi mkono hili kwani si kila ukweli ni wa muhimu

thats why i said its better muambiane mapema kama utachukulia poa endelea kama itakushinda sepa simple like that jamani
 
Aisee! Kuna watu wana past reltn za kutisha.
Ni vizuri kujua lakini maana mavi ya kale hayanuki yananukia.
 
Unataka kujua kaanzia wapi, kapitia kwa nani na nani na kwa wangapi au hata kujua huko alikopita hakudumu kwasababu gani.
Sidhani kama penzi linaweza kujenga katika uimara uliyobora kwa kutumia njia za udadisi na uchokonozi wa kutaka kujua kila kitu.
Ukweli usipoutafuta, utakutafuta. Ni bora hivyo kuliko kuja kujikwaza mwenyeo eti sababu unatafuta ukweli. Muhimu ni kuchukulia tu kuwa "mla mla leo, mla jana kala nini"
Tunajifariiiiji,mla mla jana,mla leo anakula kiporo!tuliza moyo,kipende kiporo chako na ukizoee kitakuwa kizuuuri kwako kuliko hata chakula kipya na wala hakitakuumiza tumbo!
 
Ukweli humweka mtu huru,mpe mkweli kuhusu past life yako,don't engulf that hurting truth in your heart,if you will share it with your lover,you will split apart that load of pains and it will be eased for the two of you to carry on with.

Nakubaliana na wewe,ukweli humweka mtu huru pia mwenzio anaweza kuwa faraja yako.well said.
 
Kwa lengo la kuzuia kukumbushia mimi naona bora aseme tatizo kubwa naliona ni kwetu sisi kina kaka mana kiukweli huwa mtu umetembea na wanawake wengi sana kuliko akina dada na huu ni ukweli naomba isilete shida..akikuuliza na wewe utasema?!!!
 
Nemo u wanna tell me that honest is determined by race and societies we are came from? ur not an honest person thats why u dont wana talk about ur past to ur partner and probably u got silly past my dear...

Two Things:

Attacking my personal character that you know nothing of, doesnt make your point and/or argument any more valid than what it appears to not be!

The fact that I see no added value in patners airing out all their dirty laundry doesnt make me any less honest than any other person. My friend this is just a matter of neccessity versus sufficiency!! So pls if you can,do take some time and learn the difference !!!
 
Nakubaliana na wewe,ukweli humweka mtu huru pia mwenzio anaweza kuwa faraja yako.well said.

Kabisa! unachukua CD hata hutaki kujua "past life" ya kwake kumbe ni changu doa! We unadhani umepata kumbe umepatikana! Watu wanakuchora tu! Hakuna ubaya wowote ule kuuliza ya nyuma ya muhusika pamoja na kuwa kuna uwezekano wa kudanganywa.
 
Ndugu wana jamvi kama mada tajwa husika hapo juu inavyosema...'kuna umuhimu wowote kufahamu mahusiano yaliyopita ya mpenzi wako wa sasa'?
Naomba wachangiaji tu base kwenye faida na hasara za kufamu au sintofahamu za historia ya kimapenzi ya mpenzi wako wa sasa...ukijua mpenzi wako alikua na wapenzi kumi au mmoja au hakuwahi kabisa itabadilisha nini?inaweza kuimarisha mapenzi yenu au itahatarisha?
Guys let's be realistic on this tusiongee vitu fictional tu na drama za kifilipino...haya mabo yana exist na ni tatizo katika society zetu just imagine una mpenzi wako mnatembea mnakutana na mtu anamchangamkia..wanaonyesha kufahamiana,mpenzi wako ana flirt kabisa hadi wanabadilishana namba nawewe unachukulia poa cuz unajua maybe ni rafiki yake tu kumbe mtu alikua ni mpenzi wake...we all know the problem with EX...ni rahisi sana kukumbushiana...ila kama alikwambia kabla mtu flani ali exist ungechukua tahadhari maybe ya kufupisha conversation mkaondoka yakaisha..!
Lazima tukubali kuna baadhi yetu tupo weak when it comes to deal with past relationships....kuna upande wa pili ambao hawapendi kabisa kuzungumzia mahusiano yao ya nyuma kisa wana claim hawataki kuumiza wapenzi wao...can any one try to justfy this?!

MY TAKE;
NO MATTER how many lovers u had its better ukamwambia mpenzi wako at the begginning mwa mahusiano hayo mapya ...guys trust me on this..the way utakavyo mtreat mpenzi ambaye hajawahi kuwa na mahusiano kabla,aliyewahi kuwa na uhusiano mmoja,mwenye mahusiano mawili,matatu au kumi ni tofauti kabisa....kila mmoja ana namna yake utakavyo mtreat na kumfurahisha namna yake ni both mentally na physically...its better ukamuumiza mpenzi wako kwa kumwambia past yako mwanzoni kuliko akaja kujua katikati ya mahusiano...itamuumiza sana na kuna hati hati asije kukusamehe milele...!
KARIBUNI WANAJAMVI NI HAYO TU KWA LEO!

Haina mana ya kujua ukweli kama huo ukweli utakua edited. Imagine nakwambia "Ooh Da Vinci baby coz najua unanipenda na huezi niacha no matter what basi kwa sababu unataka kujua ukweli, let me say the truth. Bikira yangu ilitolewa na ancle wangu alonibaka when i was twelve usimwambie mtu hio ni family secret by the way,,, when i was 14 nikawa na my first boyfriend yeye alikua secondary. And now you are marring me at the age of 27 I have slelpt with about almost 20 men and three ladies-and ooh dont worry am over the girls am all hetro now"

Inageuka kua my first boyfriend when nilkua 14 nae alikua 14 tukaishia ku kiss. when i was 17 almost lost my virginity to some guy but nikachoropoka. my first time nilipokua campus mwaka wa pili at the age of 21 we dated 2 years akaniacha for my friend I was so heart broken mpaka ulipokuja then I knew U ar the One for me.
 
Yes.

There is a very important reasons of knowing your lover's past relationship experience for will make you free in the way you think about her or him and handle him or her. Above all will give you the hints on where to improve or maintain for the purpose of building up the loving enveironment.
 
bora ujue ukweli kama um,ependa uendelee kama yakikushinda nenda katafute bikra mwenzio
 
Back
Top Bottom