Is this a reason why u ddnt secure a loan?

Is this a reason why u ddnt secure a loan?

Mdau hapa naona haiko sawa.
Watu tunahistoria ya kusomeshwa na wazazi wetu kupitia SACCOS kwa mikopo na marejesho ya fedha kidogo kidogo za mama zetu wakaanga vitumbua.
Tumesoma shule za private kwa kuwa ni serikali hii haikutaka kutupangia shule zake kwa kuwa ufaulu wetu ulikuwa ni wa kiwango cha chini.
Hali imeendelea hivyo hadi katika ngazi za diploma, na hii yote ni katika kutafuta sifa linganishi za kutuwezesha kufika huko kwenye vyuo vikuu, na Mungu amesaidia hili.
Sasa serikali ikifikiria sisi kupitia njia mbadala kuwa tuna uwezo inakosea kwani nayo pia ni sababu ya sisi kusomeshwa shule na vyuo hivyo, na si kwamba wazazi wana pesa la hasha; wamekopa sana ktk SACCOS hizi hadi wamepoteza sifa za kukopesheka tena kwa kuwa madeni walionayo ni makubwa mno.
Kwa wale waliopewa wakadisco, bado pia wana haki ya kupata tena siku wakimaliza masomo wakafaulu basi watarejesha madeni.
Ni ukiritimba wa serikari na watu wachache iliowakabidhi hatamu za kuvisimamia vyombo hivi vya fedha.

DUUH!NI KWELI NDUGU,lakini wafanyacho wao ni kufuata miongozo waliyopewa kuhusu ugawaji wa mikopo.TATIZO LINAKUJA KUWA NI ZILE KANUNI zinazowaongoza Hazitambui "some"cases kama hizo ulizoandika!
Ila dah,POLENI SANA,
dont lose hope my bro&sisters!
 
Kuna baadhi wenye diploma, wanaangalia nn wakat wenye diploma hawapati, mimi nimewapelekea hadi vyeti vya vifo lakin cjapata. Sisi wenye diploma ndo hatupewi tena hata kama tuna sababu za kuonyesha?
 
Kigezo chao ni
1. Kama umeweza kusoma private school secondary then wewe una uwezo wa kujisomesha.
2. Kama umesoma diploma ina maana uwezo wa kujiendeleza unao.
3. Kama walikupa mara ya kwanza uka disco then rejesha kwanza ndo wakupe tena!
Hakya ya MUNGU bodi hawana akili timamu!

Hiyo sentensi ya mwisho ndo umeongea vizuri, mengine yote ulikuwa unapiga siasa tu mkuu! Maana ukisema huyu kasoma private hivyo hastahili mkopo utakuwa umemwonea, wazazi wengi wanajinyima ili kusomesha watoto huko O na A levels wakitarajia kwamba mtoto akienda university angalau watapumua! Kwa upande wa Diplo pia hawa watu siyo kwamba kusoma kwao Dip ndo wanauwezo wa kujilipia, la hasha! Wengi wetu unakuta vimishahara ndo hivyo tena ni vya nyanya, sasa ukimwacha atakimbilia wapi? ubaya na DCs hazina mafungu ya kusomesha watumishi wake! Watoe mikopo bwanaaaa! Hata hivyo Mimi wa equivalent wamenipa 100% wandugu! ILA BODI HAWANA AKILI AU WAMEJAA UBINAFSI!! Ningekuwa mimi ndo Bodi ningetoa kidogo kidogo kwa kila mtu bila kujali priority courses! 100% ningetoa kwa yatima mwenye uthibitisho! Wengine wote wangelamba 70 au 80%!
 
Tuanzishe utaratibu wa HARAMBEE kila mtu mtaani kwake au sehemu ya kazi, kanisani n.k naamini hyo itasaidia
 
Hiyo sentensi ya mwisho ndo umeongea vizuri, mengine yote ulikuwa unapiga siasa tu mkuu! Maana ukisema huyu kasoma private hivyo hastahili mkopo utakuwa umemwonea, wazazi wengi wanajinyima ili kusomesha watoto huko O na A levels wakitarajia kwamba mtoto akienda university angalau watapumua! Kwa upande wa Diplo pia hawa watu siyo kwamba kusoma kwao Dip ndo wanauwezo wa kujilipia, la hasha! Wengi wetu unakuta vimishahara ndo hivyo tena ni vya nyanya, sasa ukimwacha atakimbilia wapi? ubaya na DCs hazina mafungu ya kusomesha watumishi wake! Watoe mikopo bwanaaaa! Hata hivyo Mimi wa equivalent wamenipa 100% wandugu! ILA BODI HAWANA AKILI AU WAMEJAA UBINAFSI!! Ningekuwa mimi ndo Bodi ningetoa kidogo kidogo kwa kila mtu bila kujali priority courses! 100% ningetoa kwa yatima mwenye uthibitisho! Wengine wote wangelamba 70 au 80%!

Hii nafikiri imetukumba wengi, mimi nilijitutumua nikamsomesha kijana ambaye nilisukumwa tu kutokana na mazingira aliyotoka kijana huyo. Bahati nzuri ni kijana anayejituma hivyo alifaulu vizuri kwenda form five. Kivumbi kwenda chuo sasa mkopo kakosa, mfadhili mie majukumu yameshakuwa mengi ada za wanangu tu mgogoro. Najikuta sina jinsi ya kumsaidia tena, ingawa roho inanisuta...
 
Unajua wakuu kwa waliodisko au wakaacha au wakaalisha mwaka majina yao hayatoki kama freshers huwa yanatoka peke yao na wanaitwa bodi makao makuu kwaajili ya kulipa kwa 25% ukishindwa kulipa upewi mkopo
 
mkuu nakuombea kwa MUNGU wa mbinguni ili ufanikiwe
a-lutta continua!
 
jamani hii not secure ni janga lazima tuwe makini kesho atapata ndugu yako sijui utaleta mchezo kama leo?
 
Back
Top Bottom