Is this true on debt to GDP ratio for Tanzania?

Is this true on debt to GDP ratio for Tanzania?

Huna elimu ya Uchumi wewe
hiyo miaka mtalipia nini mishahara!!
serikali inasimama au!!
Kama rahisi hivyo
Anza wewe kushinda njaa Wiki
Pesa zote uhifadhi uone kama rahisi
Serikali ya Kenya haikopi kulipa Mishahara.
 
Wakenya wawachukie Watanzania kwa lipi hasa? Chuki zenu kwa watu wa Kaskazini msizifanye sie watu wa Kaskazini tukagombana na ndugu zetu Wakenya..

Hivi nyie wa Kigoma mbona hakuwasemi Warwanda wanaoua wanajeshi wetu kila uchao huko Congo?
Kaskazini ya nin kwenye mada hii!!
 
Usiwe serious sana mkuu... anyways nasubiria siku mwandishi wa Kenya aka kosea kwa kuipa positive image Tz and the opposite to Kenya.

David Ndii pekee. na ndo MAANA wanammahabusu kila mara.
 
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwenye vitabu tu. Wote ni nchi maskini. Labda wanachotuzidi GDP per capita. Na budget ya Kenya inaendeshwa na makusanyo ya kodi . Tanzania kodi haziwezi kuendesha bajeti ya serikali. Lakini wote ni maskini tu. Bila kujalisha Kenya ameingia middle income. Fikiria ndani ya middle income una nchi zina per capita ya 20000000/ wakati Kenya ana per capita ya 4000000/ na Tanzania ana 3000000/ .ukiwa lower middle income kama Kenya wewe ni maskini bado. Hauko karibu na high middle income hats kidogo. Mimi nadhani hapa ni competition among the dwarfs mmoja anajiona kamzidi mwenzie kumbe wore ni wafupi , tofauti urefu inchi 2 tu lakini povu jingi LA watz na wakenya mwisho wake uko mawazoni .
 
Kama serikali inakusanya mfano shilingi 1300 billion kama ya Tanzania , halafu inatumia 700 bilion. Kulipa madeni ya zamani. Hapo lazima kuna muhkeli kwenye uchumi wa nchi in the near future . tena katika hizo zilizobaki( 700 billion mishahara ya serikali inakula 600 bilioni . ndiyo maana the future is not bright kwa subsaharan Africa karibu woote. Ukisikia mradi Wa maendeleo kama SGR / Stiegler gorge 2100 MW hatuwezi kufiance kwa makusanyo yetu ya ndani. Sasa tutakopa hadi tukataliwe hatutakopesheka mbeleni. And this is true for all developing countries. Imagine una mshahara Wa shiligi 1300000/- halafu una deni unalolipa kila mwezi 700000/ - hivi kweli hela iliyobaki unaweza kuendesha familia kwa matanuzi kama ungekuwa hukatwi hilo deni? Hapo ndipo tumefika we have been spending more than we earn all this long time. And you can not live a secure life on borrowed money. MUNGU atunusuru. Rais akisema yuko frustrated tunaingiza kejeli za siasa , ni kwa sababu amekuta madeni yasiyo na kichwa wala miguu. Tulifurahia sana maisha ya ujanja ujanja viongozi wetu walisafiri business class wanaotukopesha wanasafiri economy class. Viongozi wallipana posho nzito nzito(dola 400 )akiwa nje wakati wakienda nje .sasa madeni yame iva . Je tutayahimili ? Hapa MUNGU atusaidie lakini hivi hivi mbele kuna shida kuliko Leo.
You are too bright and innocent mzee, well said.
 
Tanzanians dreaming.... they can't wait to be like Kenya... keep dreaming our slow neighbors
 
Chuki gani? Mbona hiyo chuki huwa unaikumbuka tu ukifika hapa jf? Lakini wakati upo kwenye ziara zako na kanzu na walai yako kule Mombasa inakuwaga ni full kujiachilia. Mnafik kabisa.
Walai ndo nn?
 
Back
Top Bottom