Serikali ya Kenya haikopi kulipa Mishahara.Huna elimu ya Uchumi wewe
hiyo miaka mtalipia nini mishahara!!
serikali inasimama au!!
Kama rahisi hivyo
Anza wewe kushinda njaa Wiki
Pesa zote uhifadhi uone kama rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya Kenya haikopi kulipa Mishahara.Huna elimu ya Uchumi wewe
hiyo miaka mtalipia nini mishahara!!
serikali inasimama au!!
Kama rahisi hivyo
Anza wewe kushinda njaa Wiki
Pesa zote uhifadhi uone kama rahisi
Kaskazini ya nin kwenye mada hii!!Wakenya wawachukie Watanzania kwa lipi hasa? Chuki zenu kwa watu wa Kaskazini msizifanye sie watu wa Kaskazini tukagombana na ndugu zetu Wakenya..
Hivi nyie wa Kigoma mbona hakuwasemi Warwanda wanaoua wanajeshi wetu kila uchao huko Congo?
Usiwe serious sana mkuu... anyways nasubiria siku mwandishi wa Kenya aka kosea kwa kuipa positive image Tz and the opposite to Kenya.
You are too bright and innocent mzee, well said.Kama serikali inakusanya mfano shilingi 1300 billion kama ya Tanzania , halafu inatumia 700 bilion. Kulipa madeni ya zamani. Hapo lazima kuna muhkeli kwenye uchumi wa nchi in the near future . tena katika hizo zilizobaki( 700 billion mishahara ya serikali inakula 600 bilioni . ndiyo maana the future is not bright kwa subsaharan Africa karibu woote. Ukisikia mradi Wa maendeleo kama SGR / Stiegler gorge 2100 MW hatuwezi kufiance kwa makusanyo yetu ya ndani. Sasa tutakopa hadi tukataliwe hatutakopesheka mbeleni. And this is true for all developing countries. Imagine una mshahara Wa shiligi 1300000/- halafu una deni unalolipa kila mwezi 700000/ - hivi kweli hela iliyobaki unaweza kuendesha familia kwa matanuzi kama ungekuwa hukatwi hilo deni? Hapo ndipo tumefika we have been spending more than we earn all this long time. And you can not live a secure life on borrowed money. MUNGU atunusuru. Rais akisema yuko frustrated tunaingiza kejeli za siasa , ni kwa sababu amekuta madeni yasiyo na kichwa wala miguu. Tulifurahia sana maisha ya ujanja ujanja viongozi wetu walisafiri business class wanaotukopesha wanasafiri economy class. Viongozi wallipana posho nzito nzito(dola 400 )akiwa nje wakati wakienda nje .sasa madeni yame iva . Je tutayahimili ? Hapa MUNGU atusaidie lakini hivi hivi mbele kuna shida kuliko Leo.
Walai ndo nn?Chuki gani? Mbona hiyo chuki huwa unaikumbuka tu ukifika hapa jf? Lakini wakati upo kwenye ziara zako na kanzu na walai yako kule Mombasa inakuwaga ni full kujiachilia. Mnafik kabisa.