Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

hahaha zari mjanjaaaaaaa domo kajipindaaaaa kutambulisha kwa mama yake kumbe amesikia shoo za domo ghali sasa anamnyenga akapige shoo ya bure UG then mchezo kushneyyy . malaya akiamua kumtumia mwanaume utamuweza basi dina
 
Yaan wema hata awe mbinguni au awe nani sitajifichaaa tena uniite wewe unamteteaga sanaaa,basii yaisheee sina mashindano najitoa kabisaaa
 
Halafu nasikia Dai anapenda kuendesha pikipiki bila helmet
 
Hivyo hivyo diamond akihojiwa na waandishi wa habari hapa bongo anakaana na kusema ni marafiki kuna project wanafanya, so sio kwamba dai anatumika tu, hata zari hivyo hivyo Akiulizwa ! But wasituchanganye hawa watu ni wapenzi!
 
domo alimtambulisha ukumbini km mpenzi so tayari ilikuwa wazi, hata mama mzazi tayari alishajua. so hakukuwa na haja ya zari kuficha. kumbuka hii ni ishu ya after awards ambapo domo alishakiri pale ukumbini. zari hahaha mchezea wanaume ila afadhali iwe haki sawa kwan men walizoea kuchezea wadada
 
me nalala....wema harudi kwa dai wewe...tupinge
 
Wachape wachape wachapeee,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…