Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

noma xn,,,project inaendelea
 
Nimwendo wa viparaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huyo mdogo wke zari anachoblame mbn cha kingese kwan kuna ubaya yy kumuita chibu shemeji kisa yupo age sawa na yy!atulize mapepe mondi tayar kashamkwea bidada
 
Huyo mdogo wke zari anachoblame mbn cha kingese kwan kuna ubaya yy kumuita chibu shemeji kisa yupo age sawa na yy!atulize mapepe mondi tayar kashamkwea bidada

Ndio hapo atalamba ndimu mpaka afeee
 
hahaha zari mjanjaaaaaaa domo kajipindaaaaa kutambulisha kwa mama yake kumbe amesikia shoo za domo ghali sasa anamnyenga akapige shoo ya bure UG then mchezo kushneyyy . malaya akiamua kumtumia mwanaume utamuweza basi dina

Mbona tena ban yeruwiiiii au....
 
Iwe itakavokua Ila Zari mzuriii!Afu dai anajua kuwakomeshaaa!!Haa pombe zitamuua binti watu!Huruma sana aisee!Ila Zari kutoa wimbo na domo...Zari once said they were little carried away!!Ha ha ha
 
Waliokua wanasema Halima anajipendekeza kwa Daimond heheeee Wapo wote South ama kweli kaa karibu na uwarid lazima unukieeeeeeeee
 
Iwe itakavokua Ila Zari mzuriii!Afu dai anajua kuwakomeshaaa!!Haa pombe zitamuua binti watu!Huruma sana aisee!Ila Zari kutoa wimbo na domo...Zari once said they were little carried away!!Ha ha ha

Anatamaniiiiii angekuwepo kule south heher sasa hivi misifa yotee ta red carpet kaikosaaaa lazima ulewe hata kama ni memeeeeeee
 
Dimondii akimaliza huyo anahamia kwa yule mtoto wa Obama, Shasa, naona kashakua tayari yule
 
Anatamaniiiiii angekuwepo kule south heher sasa hivi misifa yotee ta red carpet kaikosaaaa lazima ulewe hata kama ni memeeeeeee
Weeee!!Akyananii!!Kujikomba nako kunalipia aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…