binamu LuLu?? si bora aende kwa aunty lulu kuliko lulu andunje aliyeshindikana kwa umalaya mbezi nzima washamchokonoa sana, mtoto anapenda dudu yule God forbid, yani kama dozi kutwa mara Tatu, mi sishaur, ndomo akita mke mwema aende kwa ROSE MUHANDO atamfaakiukweli kwa huyo mdada walaaaaaa bora ungeruka na Lulu au Menina ndiyo ningesema Yes , hapo unatumika Kaka ohoooo! haya we :ranger:
ahahahah wapiii kuwadiii bora wa mwaka asiyekuwa na mpinzani halima kimwana, eeh na yeye alikuwa south kumbe? dah!! kama namuona mama ubaya alivyonuna vile maana walikuwa haziivi, ila ndomo alishamwambia mama ubaya kuwa hawez kuwagombanisha yeye na halima, wametoka mbali, dahhhhh halima umetishaaaaa, KUWADI FIRST CLASS kaenda south, utamuwezea wapi Dinazarde? , tukomeshe halima
Mama ubaya kanubaje?? Nyota ya zari kali maana tuzo tatu si mchezo, mama ubaya nyota yake mwisho bamaga kwa shigongo na ndio maana ndomi hakupata tuzo, ila mtoto zari ana nyota mpaka ndomo kapata tuzo tatu, mama ubaya popote ulipo ndimu zinakuhusu, pole sana aiseeh, cha msingi we njoo uku jamii forum tupige umbea tu maana huna jipya
I don't know about y'all but that Zari chick is a real looker. She is the truth.
Mama ubaya kanubaje?? Nyota ya zari kali maana tuzo tatu si mchezo, mama ubaya nyota yake mwisho bamaga kwa shigongo na ndio maana ndomi hakupata tuzo, ila mtoto zari ana nyota mpaka ndomo kapata tuzo tatu, mama ubaya popote ulipo ndimu zinakuhusu, pole sana aiseeh, cha msingi we njoo uku jamii forum tupige umbea tu maana huna jipya
Wantuzu ugonjwa wenu wanawake weupe tunawajua.
Nkwingwa, huyo hata angekuwa mweusi bado angekuwa bomba tu.
I mean, nimejaribu kutafuta kasoro lakini wapi!
Halafu hapo unaambiwa tayari ana watoto watatu.
Dogo Diamond atakuwa anafaidi sana.
Oh well, ngoja tuache project iendelee.
me nalala....wema harudi kwa dai wewe...tupinge
Bora yako umesema ukweli wengine humu wanamponda huku moyon wanatamani wao ndio wawe Diamond
Lakini mrembo anabishaa hilooo yaan hajaona kizuri hata kimoja
Zari mzuri bana.
Na kusema ukweli kamuacha Wema kwa maili nyingi tu.
Huyo Wema sidhani hata 30 kafikisha lakini mwili wake umekongoroka utadhani bi kizee anayetegemea plastic surgery.
Kwenye looks department Zari ni moto chini.
Chibu atakuwa anafaidi sana (hata kama ni kwa muda mfupi tu).
Mmmhhh
Mi huwa cmsifii msichana kirahisi. ..ila zari mzuri japo cpendi mguu wake
dah mi km wema nakojoa dagaa
Ha ha ha ha ha uwiiii
dah mi km wema nakojoa dagaa
Mama ubaya kanubaje?? Nyota ya zari kali maana tuzo tatu si mchezo, mama ubaya nyota yake mwisho bamaga kwa shigongo na ndio maana ndomi hakupata tuzo, ila mtoto zari ana nyota mpaka ndomo kapata tuzo tatu, mama ubaya popote ulipo ndimu zinakuhusu, pole sana aiseeh, cha msingi we njoo uku jamii forum tupige umbea tu maana huna jipya
Hhhhhhaaa nani huyo kaandika hiyoooo
Bora miguu yake ya wema kama mswaki ndani ya jagi
Hahahaa haaaa uwiii. ...yap ni mzuri ila mi siupendi mnene sn