Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Kwakweli huyu Mdada ni mzuri hata asipojionesha lazima aonekane! Kwakweli kamzidi Wema kila kitu!
 
Attachments

  • 1417529141480.jpg
    1417529141480.jpg
    41.2 KB · Views: 1,577
Eeeeheeee pamoja na vyote usitegemee siku atabana nywele anasikio kubwa sijui nifananishe na nini akibana nywele uso unabadilika khafla
 
Eeeeheeee pamoja na vyote usitegemee siku atabana nywele anasikio kubwa sijui nifananishe na nini akibana nywele uso unabadilika khafla

Hapana mi nimeona pics nyingi tu alizobana tena ndo anapendeza....ingua insta utaona
 
Back
Top Bottom