warumi Kim nana Honey Faith jamani kwa sintah nimeona mtu kajiandika jina langu loo eti dinazarde halaf niliona mwingine nae eti kajiita warumi
Halaf kamtukana mrembo by nature lo basi ni shidaaaa
wanakupenda kiaina hao ngoja niende eijaenda siku nyingi kweli maana niko haihai
warumi Kim nana Honey Faith jamani kwa sintah nimeona mtu kajiandika jina langu loo eti dinazarde halaf niliona mwingine nae eti kajiita warumi
Halaf kamtukana mrembo by nature lo basi ni shidaaaa
Binam ni shidaaa halaf kule kwa mange kuna mtu nae kajiandika mrembo by nature nikamuuliza mrembo akasema sio yeye,,wanatusoma vibayaaaa
Ahahaha ahaa, wakina nani hao nikawachungulie? Wanatembelea Nyota zetu eeh? Ebu muite Mrembo by Nature tukawachambe uko uko.
Tatizo Nyota
warumi Kim nana Honey Faith jamani kwa sintah nimeona mtu kajiandika jina langu loo eti dinazarde halaf niliona mwingine nae eti kajiita warumi
Halaf kamtukana mrembo by nature lo basi ni shidaaaa
warumi Kim nana Honey Faith jamani kwa sintah nimeona mtu kajiandika jina langu loo eti dinazarde halaf niliona mwingine nae eti kajiita warumi
Halaf kamtukana mrembo by nature lo basi ni shidaaaa
Wana kazi ya kujitoa ufahamuHizi team wana kazi kwelikweli
Wana kazi ya kujitoa ufahamu
Huyo Ivan anajishughulisha na nini hasa?Wema size zake kina penny ndio wanaweza kugombania bwana sasa kwa zari si ataonekana housegirl? Dinazarde nifah Khantwe miss neddy @Gernivous sitaki baadae kuanza kuombwa kumsimulia mtu njooni wenyewe mjionee