Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

wanakupenda kiaina hao ngoja niende eijaenda siku nyingi kweli maana niko haihai

Binam ni shidaaa halaf kule kwa mange kuna mtu nae kajiandika mrembo by nature nikamuuliza mrembo akasema sio yeye,,wanatusoma vibayaaaa
 
Last edited by a moderator:
Binam ni shidaaa halaf kule kwa mange kuna mtu nae kajiandika mrembo by nature nikamuuliza mrembo akasema sio yeye,,wanatusoma vibayaaaa

AHAhaa, ni shidaaa, team three some tumetishaaaa, bado kimbunga cha funga mwaka, aka tifu la mwaka
 
Hii ni zaidi ya mwaga mboga nimwage ugali. Team imeamua sio tu kumwaga ugali ila kutoboa sufuria na kuzima moto ili pasipikwe kabisa.

Mashabiki maandazi wa Wema Sepetu wameamua kuvaa miwani za mbao na kumfanyia udalali wa mapenzi boss wao kwa aliyekuwa mume wa le project Zari the bosslady, bwana Ivan.

Amsha amsha hizo zimeanza punde tu baada ya Wema mwenyewe kuanza kumfollow Ivan, masikini baba wa watu hadi kishapachikwa jina eti aitwa Ivanwema (ila madam mbona siku zote hukumfollow jamaa why sahivi?...mi nawaza tu).

Wema ndo amekuwa wa kufanyiwa udalali hivi kama kiwanja cha bondeni duh! Ndo njia ya kumfariji hiyo? huku ni kuaibishana tu na hizi teamushuzzz!!!Haya tunangoja project ya Ivan na Madam....!!!!


wemaaa.png

wemaa2.png

wemaa3.png

wemaa4.png
 
Aisee yaani nimeperuzi huku na huko naona watu wanararuana kisa kuachwa mmmh,kumbe kuachwa kubaya....,hongera Chibu
 
Duh...hatari...halafu kuna watu wanasema huyu mdada ana Classy....really?!!!!

Angejiheshimu hiyo team yake pia ingemuheshimu...

Ila yote haya kisa Kigoma line....heheheeee.....Dai wagaie hivyo hivyooo hadi wapate kichaaa...

cc: Paula kilaki Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
warumi Kim nana Honey Faith jamani kwa sintah nimeona mtu kajiandika jina langu loo eti dinazarde halaf niliona mwingine nae eti kajiita warumi

Halaf kamtukana mrembo by nature lo basi ni shidaaaa

Nimeona shost...hivyo nlikuwa nataka nikuulize yule ni wewe au? Ndo ushakuwa superstar hivyooo....pole wangu.....
 
Last edited by a moderator:
Huyo Ivan anajishughulisha na nini hasa?Wema size zake kina penny ndio wanaweza kugombania bwana sasa kwa zari si ataonekana housegirl? Dinazarde nifah Khantwe miss neddy @Gernivous sitaki baadae kuanza kuombwa kumsimulia mtu njooni wenyewe mjionee

sina ukika na shughuli yake ila ni mtu pesa, leo kapost picha yupo kiwandani kwake uuh coments 200 watu wanapiga story za wema, dai na zari...if possible angeblock wabongo wote make tunamkanyagia waya tu kwenye page yake ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Huyo Ivan anajishughulisha na nini hasa?Wema size zake kina penny ndio wanaweza kugombania bwana sasa kwa zari si ataonekana housegirl? Dinazarde nifah Khantwe miss neddy @Gernivous sitaki baadae kuanza kuombwa kumsimulia mtu njooni wenyewe mjionee

Uwiiiii mpenzi leo utanisamehe tu shemeji yako kanibana hata kupiga umbea nashindwa...lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom